kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Natamani Sana kukuona bungeni 2020-2025 Fatma Karume a.k.a shangazi hoja zako zenye mashiko mitandaoni ndio zimenifanya nitamani kukuona pale mjengoni ukichangia hoja kwa serikali yetu.
Haijalishi utaingia mjengoni kwa chama gani ila hoja zako tu ndio zimenifanya nitamani kukuona mjengoni.
Sifurahii kuona hoja zako zikiishia mitandaoni tu Bali ninatamani kuzisikia pale mjengoni.
WanaJF tusaidiane kumshawishi huyu Mama kwani Ni hazina kwa taifa letu.