Uchaguzi 2020 Fatma Karume a.k.a shangazi natamani kukuona mjengoni 2020-2025

Uchaguzi 2020 Fatma Karume a.k.a shangazi natamani kukuona mjengoni 2020-2025

Natamani Sana kukuona bungeni 2020-2025 Fatma Karume a.k.a shangazi hoja zako zenye mashiko mitandaoni ndio zimenifanya nitamani kukuona pale mjengoni ukichangia hoja kwa serikali yetu.

Haijalishi utaingia mjengoni kwa chama gani ila hoja zako tuu ndio zimenifanya nitamani kukuona mjengoni.

Sifurahii kuona hoja zako zikiishia mitandaoni tuu Bali ninatamani kuzisikia pale mjengoni.

WanaJF tusaidiane kumshawishi huyu Mama kwani Ni hazina kwa taifa letu.
Ila Fatma (Shangazi)yuko vizuri katika maandishi, ila hana kipaji cha kuongea
 
da!!!, Aisee...kwamba anatumia miguu yote....?.......hatari sana
 
Back
Top Bottom