kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
@Crimea Mbona fatma yuko vizuri.Bungeni siyo sehemu ya kupeleka vituko
@Crimea Mbona fatma yuko vizuri.
Kuna kituko kuzidi Ndugai.!?Bungeni siyo sehemu ya kupeleka vituko
We ndo umeona hizo tuu?Hoja zipi za kuunga mkono USHOGA au?
Nitaangalia mkuu.Unaonaje ukaenda kunywa naye chai
Ufurahie huo uzuri wake.
Namshauri asijiunge na vyama vya siasa kwani vitampunguzia heshima.Natamani Sana kukuona bungeni 2020-2025 Fatma karume a.k.a shangazi hoja zako zenye mashiko mitandaoni ndio zimenifanya nitamani kukuona pale mjengoni ukichangia hoja kwa serikali yetu.
Haijalishi utaingia mjengoni kwa chama gani ila hoja zako tuu ndio zimenifanya nitamani kukuona mjengoni.
Sifurahii kuona hoja zako zikiishia mitandaoni tuu Bali ninatamani kuzisikia pale mjengoni.
Wana jf tusaidiane kumshawishi huyu Mama kwani Ni hazina kwa taifa letu.
Natamani Sana kukuona bungeni 2020-2025 Fatma Karume a.k.a shangazi hoja zako zenye mashiko mitandaoni ndio zimenifanya nitamani kukuona pale mjengoni ukichangia hoja kwa serikali yetu.
Haijalishi utaingia mjengoni kwa chama gani ila hoja zako tuu ndio zimenifanya nitamani kukuona mjengoni.
Sifurahii kuona hoja zako zikiishia mitandaoni tuu Bali ninatamani kuzisikia pale mjengoni.
WanaJF tusaidiane kumshawishi huyu Mama kwani Ni hazina kwa taifa letu.
Punguzeni matusiYule sio wa mjengoni.Yule ni wakutumika tu.
Vijana wa don town mna tabu sana!!!.Punguzeni matusi
Alafu mnasema ufipa ndy Wana matusi
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Fatma ni mwanamke ambae wengi tunamheshimuBungeni siyo sehemu ya kupeleka vituko