Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo fatma pamoja na kukaa ulaya kusema kiingereza na kuwa wakili ila usiku anaruka na ungo ana wivu na roho mbaya kisa mwinyi alimkataa!
Mwinyi alimkataaje? Kwani fetty alimtaka mwinyiHuyo fatma pamoja na kukaa ulaya kusema kiingereza na kuwa wakili ila usiku anaruka na ungo ana wivu na roho mbaya kisa mwinyi alimkataa!
Maisara, kikwajuni, kisauni, kiembe samaki
Anavuna kile alichopanda baba yake.
Usipende kutafuniwa fanya uchunguzi kimya kimya!Mwinyi alimkataaje? Kwani fetty alimtaka mwinyi