kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 18,833 Reaction score 23,276 Nov 5, 2024 #2 mirindimo said: View attachment 3144332 Click to expand... Huyo fatma pamoja na kukaa ulaya kusema kiingereza na kuwa wakili ila usiku anaruka na ungo ana wivu na roho mbaya kisa mwinyi alimkataa!
mirindimo said: View attachment 3144332 Click to expand... Huyo fatma pamoja na kukaa ulaya kusema kiingereza na kuwa wakili ila usiku anaruka na ungo ana wivu na roho mbaya kisa mwinyi alimkataa!
raraa reree JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 11,504 Reaction score 35,520 Nov 5, 2024 #3 Barabara ya kwao sio ya wananchi
M mockers JF-Expert Member Joined Nov 19, 2013 Posts 12,843 Reaction score 35,442 Nov 5, 2024 #4 kipara kipya said: Huyo fatma pamoja na kukaa ulaya kusema kiingereza na kuwa wakili ila usiku anaruka na ungo ana wivu na roho mbaya kisa mwinyi alimkataa! Click to expand... Mwinyi alimkataaje? Kwani fetty alimtaka mwinyi
kipara kipya said: Huyo fatma pamoja na kukaa ulaya kusema kiingereza na kuwa wakili ila usiku anaruka na ungo ana wivu na roho mbaya kisa mwinyi alimkataa! Click to expand... Mwinyi alimkataaje? Kwani fetty alimtaka mwinyi
Kalaga Baho Nongwa JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 9,953 Reaction score 23,150 Nov 5, 2024 #5 mirindimo said: View attachment 3144332 Click to expand... Maisara, kikwajuni, kisauni, kiembe samaki
mirindimo said: View attachment 3144332 Click to expand... Maisara, kikwajuni, kisauni, kiembe samaki
edon66 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 2,907 Reaction score 9,135 Nov 5, 2024 #6 Baba yake Mzee karume alikuwa mzembee hayo alitakiwa ayafanyee yy mapema kama Mzee wa chato aliweka Hadi uwanja wa ndege kuepusha wtt wake kulilia km bi Fetty..
Baba yake Mzee karume alikuwa mzembee hayo alitakiwa ayafanyee yy mapema kama Mzee wa chato aliweka Hadi uwanja wa ndege kuepusha wtt wake kulilia km bi Fetty..
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 24,831 Reaction score 45,154 Nov 5, 2024 #7 mirindimo said: View attachment 3144332 Click to expand... Anavuna kile alichopanda baba yake.
T Top gear JF-Expert Member Joined Sep 18, 2023 Posts 1,199 Reaction score 3,449 Nov 5, 2024 #8 Huyu dada dishi lake hua Ni shida.
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 18,833 Reaction score 23,276 Nov 5, 2024 #9 mockers said: Mwinyi alimkataaje? Kwani fetty alimtaka mwinyi Click to expand... Usipende kutafuniwa fanya uchunguzi kimya kimya!
mockers said: Mwinyi alimkataaje? Kwani fetty alimtaka mwinyi Click to expand... Usipende kutafuniwa fanya uchunguzi kimya kimya!