Fatma Karume, alikuwa na chuki binafsi na Magufuli

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Huyu alikuwa anamchukia Magufuli kuliko kawaida

Ilikuwa ni chuki binafsi

Utekaji umeisha?

Watu ndio kwanza wanatekwa na kupakwa mafuta na kufirwa na kubakwa

Halafu anatetea watu Kama hawa

Huyu ndiye aliwaunga mkono CHADEMA walivyogomea serikali za mitaa mwaka 2019

Je Nini kimebadilika?

Hakika waliokuwa na chuki binafsi na Magufuli wote tutawaona

Nao ni Zitto, Fatma na Mbowe

Hawa ni maadui wa mabadiliko ya kweli nchi hii!!
 
Fatma alikuwa na malalamiko ya kweli kuhusu jiwe lakini pia inawezekana alikuwa na chuki binafsi dhidi yake kwa sababu jiwe hakuwa mtu polished katika kufanya ukatili wake.
 
Fatma alikuwa na malalamiko ya kweli kuhusu jiwe lakini pia inawezekana alikuwa na chuki binafsi dhidi yake kwa sababu jiwe hakuwa mtu polished.
Hivi Fatma mlishamsikia tofauti na kipindi cha Magufuli akikosoa kwa kutumia nguvu kubwa? Ndiyo najua kuwa Magufuli naye alimfanyia unyama lakini kabla ya Magufuli alikuwa ni mkosoaji wa serikali?
 
Fatma alikuwa na malalamiko ya kweli kuhusu jiwe lakini pia inawezekana alikuwa na chuki binafsi dhidi yake kwa sababu jiwe hakuwa mtu polished.
Sawa but huu unafiki tuukatae

Kwanini Lissu uwa apindi? Toka mwaka 1995 anapambana na kila Rais anayekuja kwa sababu anajuwa tatizo sio dini au kabila la mtu shida ni mfumo wa kipumbavu wa CCM
 
Wote wanafanya kazi mashine hawawezi kukosoana kujenga Zenji. Kala Jeremiah aliaminika kuwa mwanaharakati enzi za JK kwa Magu aliufyata. Mtu anayempenda ama anayemchukia mwingine huwa kuna sababu zaidi ya inayotajwa.
 
Huyo msagaji ni mdini sana
 
Wengine wana roho za udini tu, hata uwaambie nini maadam aliyepo hapo juu ni mwenzao katika Imani

Kutekwa watu, kuuliwa, kubakwa na kuporwa haki zao, kwao si kitu tena

Ndivyo alivyo huyo sha
 
Hivi Fatma mlishamsikia tofauti na kipindi cha Magufuli akikosoa kwa kutumia nguvu kubwa? Ndiyo najua kuwa Magufuli naye alimfanyia unyama lakini kabla ya Magufuli alikuwa ni mkosoaji wa serikali?

..msimlaumu Fatma Karume.

..Magufuli aliilipua kwa bomu ofisi ya Fatma Karume.

..wahuni wa Magufuli wakamnyang'anya leseni ya uwakili.

..Samia hajalipua ofisi ya Fatma wala kuharibu mali zake.

..Lazima kutakuwa na utofauti jinsi Fatma anavyomchukulia Samia vs Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…