Fatma Karume, alikuwa na chuki binafsi na Magufuli

Fatma Karume, alikuwa na chuki binafsi na Magufuli

Chadema ya sasa ni imara sana kuzidi ya Mbowe huo ndo ukweli tena chadema wakisusia uchaguzi ndo watakua imara zaidi watanzania Wana akili sio wajinga kiivyo
Fatma ni more nuanced na pragmatic and yuko tayari kukosolewa. Maria ana personalise kila kitu na inaelekea anaamini kuwa kila wakati yuko sahihi. Hapendi kukosolewa and she plays to the gallery. Amechangia sana kuitumbukiza CDM katika mtego wa CCM.

Amandla..
 
Ivi Ushoga wao na Mwezie maria sarungi Bado upo kweli? mana naona Kwa Sasa kama mliengo yao imepishana mana sarungi anapiga spana ila yeye tayari amekuwa neutralize, Activists wengi ni oppurnitics sio wakusikiliza kabisa
 
Huyu alikuwa anamchukia Magufuli kuliko kawaida

Ilikuwa ni chuki binafsi

Utekaji umeisha?

Watu ndio kwanza wanatekwa na kupakwa mafuta na kufirwa na kubakwa

Halafu anatetea watu Kama hawa

Huyu ndiye aliwaunga mkono CHADEMA walivyogomea serikali za mitaa mwaka 2019

Je Nini kimebadilika?

Hakika waliokuwa na chuki binafsi na Magufuli wote tutawaona

Nao ni Zitto, Fatma na Mbowe

Hawa ni maadui wa mabadiliko ya kweli nchi hii!!
Fatma ni CCM.
Mengine ni ngonjera tu
 
Tutaona uimara wake utakavyokuwa baada ya Oktoba.

Amandla...
Itakuepo sana mzee chadema ya Lissu usifananishe ya Mbowe usicheze na Chadema ya Lissu ni hatari sana toka 2020 watu walishapuuza kupiga kura kwa taarifa yako
 
..msimlaumu Fatma Karume.

..Magufuli aliilipua kwa bomu ofisi ya Fatma Karume.

..wahuni wa Magufuli wakamnyang'anya leseni ya uwakili.

..Samia hajalipua ofisi ya Fatma wala kuharibu mali zake.

..Lazima kutakuwa na utofauti jinsi Fatma anavyomchukulia Samia vs Magufuli.
Mimi nimeuliza misimamo yake siku za nyuma na sijamlamu. Ni muhimu kujua kwa sababu kuna watu wana-criticize serikali pale tu maslahi yao yanapoguswa.
 
Fatuma amesema sana. Amemkosoa hata Rais wa sasa kuhusu utekaji na upotezwaji watu. Kuhusu kukandamiza wapinzani wake. Kuhusu hizi kesi za kina Lissu nk. Labda sema hakusema unayopenfa kuyasikia.

After all kutetea wananchi siyo kazi ya watu special. Fanya nawe sehemu yako.
Jaribu kusoma kwa ufahamu na usijibu mambo ambayo sikuuliza. Mimi nimeuliza misimamo yake siku za nyuma. (BTW Kila mtu mpenda haki ana jukumu la kutetea wananchi wanaokandamizwa na mimi niko mstari wa mbele, japo siyo lazima)
 
Itakuepo sana mzee chadema ya Lissu usifananishe ya Mbowe usicheze na Chadema ya Lissu ni hatari sana toka 2020 watu walishapuuza kupiga kura kwa taarifa yako
Chadema ya Mbowe ndio oliyozaa hiyo mnayoita Chadema ya Lissu. Magari, matawi, wanachama n.k. Ni matokeo ya juhudi za Chadema ya Mbowe.

Wakati Mbowe yuko ndani Chadema yake iliendelea kumpambania mtaani. Bawacha waliandamana ubalozi wa Marekani. Walijigalaga chini nje ya Mahakama. Waklna Ruge wakaanzisha klabu za jogging kudai haki itendeke kwa ajili ya kiongozi wao. Walitupwa rumande mara kibao lakini hawakuacha.

Mbowe na wenzake walifungwa jela na waliendelea na mapambano baada ya kutoka jela.

Walivaa nguo za chama chao makanisani ingawa walijua wanaweza kutiwa ndani.
Chadema ya Mbowe iliita maandamano dhidi ya watu kupotea na kuuawa. Mashujaa wenu wote waliingia mitini.

Chadema ya Mbowe ilipigana kuhakikisha Makamu Mwenyekiti wake wa wakati ule hapotezi uhai wake.

Chadema ya Mbowe ilikataa kupokea ruzuku hadi madai yao yatakapotimizwa. Na waliweza kuendesha chama chao bila ruzuku.

Chadema ya Lissu inampambania kiongozi wao kwenye mikutano ya hadhara ambako wanapewa ulinzi na polisi.

Chadema ya Lissu imeshindwa hata kufanya maandamano ya kulaani kupotea kwa kamanda wao Mdude.

Chadema ya Lissu inategemea kuwa mabadiliko yatapatikana kwa hisani ya chama tawala. Tutasusa na kununa kama reform hazitafanyika.

Chadema ya Lissu haijafanya na haijapitia hata theluthi moja ya maumivu ambayo Chadema ya Mbowe iliyapitia. Ushujaa wa wafuasi wake ni wa mtandaoni tu. Nginja nginja imewashinda mapema sana.

Amandla...
 
Fatma ni more nuanced na pragmatic and yuko tayari kukosolewa. Maria ana personalise kila kitu na inaelekea anaamini kuwa kila wakati yuko sahihi. Hapendi kukosolewa and she plays to the gallery. Amechangia sana kuitumbukiza CDM katika mtego wa CCM.

Amandla...

ukireply kwenye post yake na coment isiompendeza unaweza kula BLock hapo hapo. Yule Maria Ni takataka kabisa
 
Ukute stone aliweka tangawizi zake pale..!!
 
Ukitulia utamuelewa vizuri sana Fatma Karume. Anaeleweka na ananyoosha sana maelezo ila sio unavyopenda.

Enzi ya Jiwe JPM fatma aliluwa wakili wa Barrick kwa hapa tz na.magu alikuwa anawanyoosha barrick ndipo bifu lao lilipoanza.

Chadema wale wajinga hawamuelewi fatma anawaaambia hawawezi kuzuia uchaguzi na reforms haziwezekaniki maana bunge lishavunjwa
Kwani reforms zimeanza kuombwa baada ya bunge kuvunjwa?
 
Huyu alikuwa anamchukia Magufuli kuliko kawaida

Ilikuwa ni chuki binafsi

Utekaji umeisha?

Watu ndio kwanza wanatekwa na kupakwa mafuta na kufirwa na kubakwa

Halafu anatetea watu Kama hawa

Huyu ndiye aliwaunga mkono CHADEMA walivyogomea serikali za mitaa mwaka 2019

Je Nini kimebadilika?

Hakika waliokuwa na chuki binafsi na Magufuli wote tutawaona

Nao ni Zitto, Fatma na Mbowe

Hawa ni maadui wa mabadiliko ya kweli nchi hii!!
We unalazimisha ampende?
 
Mpenda haki Hana dini, Kabila wala rangi. Ukiona mwanaharakati ananyamazia uovu, sababu iko karibu, nayo ndiyo udini, ukabila nk. Magufuli alifanya uovu lakini alimudu kumtimua best yake Charles Kitwanga. Hii nchi inamhitaji mtu kama, Lissu, Nyerere, Rais wa Korea kaskazini and the likes.
 
Huyu alikuwa anamchukia Magufuli kuliko kawaida

Ilikuwa ni chuki binafsi

Utekaji umeisha?

Watu ndio kwanza wanatekwa na kupakwa mafuta na kufirwa na kubakwa

Halafu anatetea watu Kama hawa

Huyu ndiye aliwaunga mkono CHADEMA walivyogomea serikali za mitaa mwaka 2019

Je Nini kimebadilika?

Hakika waliokuwa na chuki binafsi na Magufuli wote tutawaona

Nao ni Zitto, Fatma na Mbowe

Hawa ni maadui wa mabadiliko ya kweli nchi hii!!
Umemsahau na chinembe
 
Back
Top Bottom