Labda haujasoma posts zote. Nyingi zimeingiza udini (k.m. namba 17). Fatma amekuwa akikosolewa kwa sababu kuu tatu:Mkuu mbona hakuna link Kati ya dini na hiki anachokosolewa Fatma??
So fatma tu anayekosolewa kwa kuwa ndumilakuwili kwa Sasa, wapo wengi hata kuanzia humu na huko mitandao mingine kila siku wanakosolewa kuwa kwa Sasa wamekua ndumilakuwili, mfano ni ansbert ngurumo, deodatus balile, Peter madeleka, mbowe, kina John Mrema nk
Umeingiza dini sehemu ambayo haikustahili
Wanaosema hivyo na wewe uliyesema hivyo wote mnakosea.Labda haujasoma posts zote. Nyingi zimeingiza udini (k.m. namba 17). Fatma amekuwa akikosolewa kwa sababu kuu tatu:
1. Anamtetea SSH kwa sababu ni mwanamke mwenzake. Ni kweli mwanzoni alisema kuwa atakuwa tofauti kwa sababu ni mwanamke lakini aliachana na huo msimamo kitambo tu.
2. Anamtetea SSH kwa sababu ni Mzanzibari mwenzake.
3. Anamtetea SSH kwa sababu ni muislamu mwenzake.
Yote hayo yamesemwa juu yake na hasa pale anapo tofautiana na mtizamo wa CDM.
Hiki ni kitu ambacho hakiwajengi wafuasi wa Chadema na inawafanya waonekane kama wadini.
Katika hao uliowataja kuwa ni ndumila kuwili, hauwezi kukana kuwa ukabila unaingizwa sana katika kuwakosea Mbowe, Mrema na wenzio.
Udini na ukabila havitakiwi kuvumiliwa bila kujali vinafanywa na nani. Kumkosoa SSH na Fatma kwa kutumia dini, jinsia na asili zao sio sahihi kabisa.
Amandla...
Wenye dini yao wamesema, mimi nani niwapinge....Ushauri NI kuacha ushabiki na kujali Maisha tako Tu.
NI juzi tu tumeadhimisha Ashura tukimkumbuka mtetezi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali aliyeuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya uonevu na dhulma.
View attachment 3398399
adriz Mpaji Mungu PSL god njumu za kosovo dronedrake
Ukosoaji wa Fatma umepungua makali flani!Labda haujasoma posts zote. Nyingi zimeingiza udini (k.m. namba 17). Fatma amekuwa akikosolewa kwa sababu kuu tatu:
1. Anamtetea SSH kwa sababu ni mwanamke mwenzake. Ni kweli mwanzoni alisema kuwa atakuwa tofauti kwa sababu ni mwanamke lakini aliachana na huo msimamo kitambo tu.
2. Anamtetea SSH kwa sababu ni Mzanzibari mwenzake.
3. Anamtetea SSH kwa sababu ni muislamu mwenzake.
Yote hayo yamesemwa juu yake na hasa pale anapo tofautiana na mtizamo wa CDM.
Hiki ni kitu ambacho hakiwajengi wafuasi wa Chadema na inawafanya waonekane kama wadini.
Katika hao uliowataja kuwa ni ndumila kuwili, hauwezi kukana kuwa ukabila unaingizwa sana katika kuwakosea Mbowe, Mrema na wenzio.
Udini na ukabila havitakiwi kuvumiliwa bila kujali vinafanywa na nani. Kumkosoa SSH na Fatma kwa kutumia dini, jinsia na asili zao sio sahihi kabisa.
Amandla...
Kama mambo yenyewe ndo haya mtu ni bora uachane tu na siasa.Watu ndio kwanza wanatekwa na kupakwa mafuta na kufirwa na kubakwa
Fatma ni more nuanced na pragmatic and yuko tayari kukosolewa. Maria ana personalise kila kitu na inaelekea anaamini kuwa kila wakati yuko sahihi. Hapendi kukosolewa and she plays to the gallery. Amechangia sana kuitumbukiza CDM katika mtego wa CCM.Ukosoaji wa Fatma umepungua makali flani!
Ambaye kaendelea kuwa consistent ni Maria:
Fatuma tokea avunje ndoa yake na kuamua kuchepuka na vijana wadogo chawaccm Akili zake z imevurugwa hana ufahamu tenaHuyu alikuwa anamchukia Magufuli kuliko kawaida
Ilikuwa ni chuki binafsi
Utekaji umeisha?
Watu ndio kwanza wanatekwa na kupakwa mafuta na kufirwa na kubakwa
Halafu anatetea watu Kama hawa
Huyu ndiye aliwaunga mkono CHADEMA walivyogomea serikali za mitaa mwaka 2019
Je Nini kimebadilika?
Hakika waliokuwa na chuki binafsi na Magufuli wote tutawaona
Nao ni Zitto, Fatma na Mbowe
Hawa ni maadui wa mabadiliko ya kweli nchi hii!!
Fatuma sasa ni chawaccm tayari na yeye ni ibirisi wa ccm..msimlaumu Fatma Karume.
..Magufuli aliilipua kwa bomu ofisi ya Fatma Karume.
..wahuni wa Magufuli wakamnyang'anya leseni ya uwakili.
..Samia hajalipua ofisi ya Fatma wala kuharibu mali zake.
..Lazima kutakuwa na utofauti jinsi Fatma anavyomchukulia Samia vs Magufuli.
Fatuma sasa anadanga na chawaccm keshajitoa fahamu zote hana ufahamu tenaFatma ni more nuanced na pragmatic and yuko tayari kukosolewa. Maria ana personalise kila kitu na inaelekea anaamini kuwa kila wakati yuko sahihi. Hapendi kukosolewa and she plays to the gallery. Amechangia sana kuitumbukiza CDM katika mtego wa CCM.
Amandla...
Fatuma sasa ni chawaccm hana loloteAsilimia 60 ya maisha yake amekulia Ikulu usitegemee aone uovu wowote unless maslahi yake/yao yakiguswa. Chuma JPM aliwagusa kidogo kuwarudisha kwenye mstari ulionyooka, chuki binafsi ikajengeka. Asikuambie mtu Shida hazizoeleki
Tokea fatuma avunje ndoa yake na kuamua kudanga kisiasa na ibirisi wa ccm jamii ya wapenda haki wamemfuta kwenye list ya watu wadilifu na makiniYaani Ujio wa Magu na Ujio wa Lissu umetutambulisha Wazalendo wakweli, wanafiki, Wasaliti, Matapeli wote wa kisiasa wamejulikana.
Fatuma sasa ni mdangaji wa kisiasa keshajitoa fahamu zote kawa chawaccm hakuna wa kumwamini tenaNa hivyo hivyo kuna wanao wapinga kwa sababu sio wa dini yao.
Fatma amesema sana kuhusu maovu yanayofanyika nchini. Amekemea kuwekwa ndani kwa Lissu kama alivyokemea kuwekwa ndani Mbowe. Ila kwa sababu ni muislamu yote hayo hamyaoni, mnayaona tu yale yanayoendana na vyama vinavyo ongozwa na waislamu wenzake!
Amandla...
Fatuma sasa ni chawaccm ni ibirisi wa ccm, hafai kuwa mtetezi wa haki keshakuwa mdangaji wa kisiasa hakuna mpenda haki atamwamini tenaLabda haujasoma posts zote. Nyingi zimeingiza udini (k.m. namba 17). Fatma amekuwa akikosolewa kwa sababu kuu tatu:
1. Anamtetea SSH kwa sababu ni mwanamke mwenzake. Ni kweli mwanzoni alisema kuwa atakuwa tofauti kwa sababu ni mwanamke lakini aliachana na huo msimamo kitambo tu.
2. Anamtetea SSH kwa sababu ni Mzanzibari mwenzake.
3. Anamtetea SSH kwa sababu ni muislamu mwenzake.
Yote hayo yamesemwa juu yake na hasa pale anapo tofautiana na mtizamo wa CDM.
Hiki ni kitu ambacho hakiwajengi wafuasi wa Chadema na inawafanya waonekane kama wadini.
Katika hao uliowataja kuwa ni ndumila kuwili, hauwezi kukana kuwa ukabila unaingizwa sana katika kuwakosea Mbowe, Mrema na wenzio.
Udini na ukabila havitakiwi kuvumiliwa bila kujali vinafanywa na nani. Kumkosoa SSH na Fatma kwa kutumia dini, jinsia na asili zao sio sahihi kabisa.
Amandla...
All of what you said may be true, but, what is also true is, she hasn’t kept the same energy [as far as criticizing the current occupant of the state house is concerned] and it is palpable!Fatma ni more nuanced na pragmatic and yuko tayari kukosolewa. Maria ana personalise kila kitu na inaelekea anaamini kuwa kila wakati yuko sahihi. Hapendi kukosolewa and she plays to the gallery. Amechangia sana kuitumbukiza CDM katika mtego wa CCM.
Amandla...
Huyu Bibi tapeli sanaDini na uzawa
Jpm angekuwa ni muslim na mzanzibar usingemuona anakosoa
Fatam nae ni waleeeFatma alikuwa CCM enzi za JK
YesJPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Yes kama hawana kuelewa hapa basi kuna mtu nilimwambia kuhusu Mbowe kijana wa chadema akanitukana naona katulia huyo dogoFatma ni project ya mfumo ndio maana sio.rahisi.kueleweka. madeleka. Zzk. Mbowe wote ni project kama alivyokuwa odinga kenya. Baada ya Marehemu Lundenga kufariki na.baadhi ya waombolezaji na waliojitoa ilijulikana kama marehemu alikuwa kipenyo bin kipepeo project ya.mfumo
Huyu alikuwa anamchukia Magufuli kuliko kawaida