Fatma Karume, alikuwa na chuki binafsi na Magufuli

Fatma Karume, alikuwa na chuki binafsi na Magufuli

..Magufuli alikuwa mwizi.

..umesahau ugomvi wa Dr.Assad na Magufuli ulipoanzia?

..Dr.Assad alimuita Magufuli mwizi kutokana na kashfa ya uuzwaji nyumba za serikali.
Haya vipi CAG wa sasa naye anasemaje kuhusu hesabu za serikali?

Si yale hale tu kuna tofauti gani?

Kinachowasumbua ni udini tu ambao hauna maana kama huyo Prof Assad no wonder alitumbuliwa tu.

Je saivi hakuna wizi au ndio kila kitu kusifia? Nj unafki mzee umewajaa
 
Mimi namshauri Lissu kama akitoka hapa aachane na siasa hizi sababu anapigania vita mwenyewe.

Waliomzunguka ni wanafki na walafi wa Mali tu, kama huyo Fatuma na mwenzake Zitto hata wale kina Sarungi walimjaza lissu arudi bongo mambo yatakuwa sawa ilihali yeye Maria yupo nje kurudi anaogopa .

Anatweet tu kule X yaani u keyboard warrior tu wakati mwenzao ananyea debe kule, nadhani kwa heshima arudi hata Belgium akaendelee na maisha yake sababu amekuwa akipigania maslahi ya watu tangu akiwa mbunge muda mrefu sana ila amezungukwa na machawa na wanafki

Huyo Fatuma saivi ndio anaona kila kitu kipo sawa au unafki tu? Naye ni wale watoto waliozoeshwa raha na starehe na sasa amepata alichotaka kutoka kwa shangazi yake saivi kanyamaza
Lissu ni Mtumishi wa Mungu. Na Nguvi na kipawa anapewa na Yeye aliyemuumba wa Vyote.

Huoni miujiza juu ya maisha ya Lissu?
 
Haya vipi CAG wa sasa naye anasemaje kuhusu hesabu za serikali?

Si yale hale tu kuna tofauti gani?

Kinachowasumbua ni udini tu ambao hauna maana kama huyo Prof Assad no wonder alitumbuliwa tu.

Je saivi hakuna wizi au ndio kila kitu kusifia? Nj unafki mzee umewajaa
Prof Assad kama angebadilika tungemweka kundi moja. Lakini bado amenyoka.
 
Utekaji aliochukia wakati ule eti sasa hivi hauoni.

Kila jambo lina wakati wake.
Alikuwa na chuki zake inaonekana alikuwa ni moja walamba asali wakati alipoingia Magufuli ndipo akaanza kuexpose wababaishaji naye akiwemo

Inashangaza kwani awamu hii kimebadilika kipi mpaka akae kimya yeye si alijifanya mwanaharakati?? Udini na ule undugunization tu kwamba wametoka sehemu moja sijui hao?
 
Lissu ni Mtumishi wa Mungu. Na Nguvi na kipawa anapewa na Yeye aliyemuumba wa Vyote.

Huoni miujiza juu ya maisha ya Lissu?
Waliomzunguka ni wanafki na wana tamaa pia waoga sana anapambana mwenyewe na wachache tu

Mtu anatweet free lissu ila usiku analala pazuri kwake na anakula anachotaka uhuru anao yupo nje ya nchi kurudi anaogopa hata kumzika baba yake

Wakati mwenzao analala huko saa 9 mchana na ananyea debe bado hao kina Fatuma wanaenda kinyume na mwenyekiti wao aliyepo jela

Si unafki huo
 
Si kila aliitaye jina la Bwana Bwana atarithi Uzima wa milele.
 
Haya vipi CAG wa sasa naye anasemaje kuhusu hesabu za serikali?

Si yale hale tu kuna tofauti gani?

Kinachowasumbua ni udini tu ambao hauna maana kama huyo Prof Assad no wonder alitumbuliwa tu.

Je saivi hakuna wizi au ndio kila kitu kusifia? Nj unafki mzee umewajaa

..Mahakama ilisemaje kuhusu kutumbuliwa kwake?

..Magufuli alikuwa anaficha nini, kiasi cha kuchukia demokrasia, uwazi , na kukosolewa kiasi kile?
 
Alikuwa na chuki zake inaonekana alikuwa ni moja walamba asali wakati alipoingia Magufuli ndipo akaanza kuexpose wababaishaji naye akiwemo

Inashangaza kwani awamu hii kimebadilika kipi mpaka akae kimya yeye si alijifanya mwanaharakati?? Udini na ule undugunization tu kwamba wametoka sehemu moja sijui hao?

..Prof.Assad alimlipua Magufuli tangu akiwa waziri wa ujenzi. Magufuli akaamua kumlipizia kisasi alipoukwaa Uraisi.
 
Hakuna mtu mnafiki , mdini na muongo of all time Tanzania kama Zitto Kabwe, unakumbuka alikuwa ana shirikiana na gazette la Economy kumsema Magufuli, kibaya zaidi uongo wa karne ni kuwa Magufuli alimwaga korosho baharini, sasa hivi tuli, upinzani unaumia eti ana piga kampeni kushindana na mifumo ile ile.
 
Wengine wana roho za udini tu, hata uwaambie nini maadam aliyepo hapo juu ni mwenzao katika Imani

Kutekwa watu, kuuliwa, kubakwa na kuporwa haki zao, kwao si kitu tena

Ndivyo alivyo huyo sha
Na hivyo hivyo kuna wanao wapinga kwa sababu sio wa dini yao.

Fatma amesema sana kuhusu maovu yanayofanyika nchini. Amekemea kuwekwa ndani kwa Lissu kama alivyokemea kuwekwa ndani Mbowe. Ila kwa sababu ni muislamu yote hayo hamyaoni, mnayaona tu yale yanayoendana na vyama vinavyo ongozwa na waislamu wenzake!

Amandla...
 
Mkuu mbona hakuna link Kati ya dini na hiki anachokosolewa Fatma??

So fatma tu anayekosolewa kwa kuwa ndumilakuwili kwa Sasa, wapo wengi hata kuanzia humu na huko mitandao mingine kila siku wanakosolewa kuwa kwa Sasa wamekua ndumilakuwili, mfano ni ansbert ngurumo, deodatus balile, Peter madeleka, mbowe, kina John Mrema nk

Umeingiza dini sehemu ambayo haikustahili
 
Back
Top Bottom