Fatma Karume aondolewa kwenye orodha ya mawakili (Permanent removal), akutwa na hatia ya kukiuka maadili

Siwezi kukupinga wala kukubaliana na wewe, kwani majuzi tu Mbowe naye alikuja na jambo ambalo linaonyesha kuwa siyo kweli kwamba nyumba za viongozi wanaoishi mle zina walinzi maalum. Hata hivyo nina mashaka na ukweli wa utaratibu wa ulinzi unaosema kwani kwa kawaida maeneo maalumu huwa yana ulizi wa doria, siyo ulinzi individualized kama unavyodai. Viongozi wanakuwa na body gurads wao, ambao unfortunately Lissu na Mbowe hawana.
 
Idadi ya wajinge imeakuwa inaongezeka sana Tanzania kiasi kuwa hawawezi kufikiri namna ya kutoa hoja bali lugha za mtusi tu. Kama mimi ni Kilaza wa Lumumba basi nina afadhali kidogo kuliko wewe kicheche wa Ufipa!
Soma maswali yangu alafu angalia na majibu yako kama umejibu hata moja?? Then kasirika tena kama ukiitwa kilaza!
 
Kite do cha serikali kushindwa kufanya uchunguzi kwa madai ya kukoswa ushirikiano toka kwa Lissu, kunyimwa matibabu na serikali na kuvuliwa ubunge kinyemeka huo ni Ujumbe todha kuwa ni nani alikuwa behind all this.
 
CCM ndio wamemfuta uwakili?!
Acha kujitoa ufahamu as if hujui ni namna gani vyombo mbalimbali vinaingiliwa kwenye awamu hii!!!

Kila mwenye akili timamu bado anakumbuka jinsi Tanganyika Law Society ilivyokuwa inawekewa figisu figisu at the time ilipokuwa inaongozwa na critics!

Lakini ajabu ya watu aina yenu ni pale unapokuta hata CCM wenyewe wakiongea hadharani tena bila aibu kwamba:-



Sasa ikiwa wanatumia hata vyombo vya dola for their own gain, ndo watashindwa ku-influence maamuzi ya TLS?! And if so, wewe ni nani hata ubishe anachosema hata General Secretary mwenyewe?!

Endeleeni tu kutetea upumbavu unaoendelea nchi hii but hatutaacha kuwakumbusha kwamba, kutetea maujinga yanayoendelea katu haitawafanya nanyi muwe salama and like them coz' the only like them will always be themselves, na watu pekee walio safe are themselves.... I mean The First Family, PERIOD!
 
Soma maswali yangu alafu angalia na majibu yako kama umejibu hata moja?? Then kasirika tena kama ukiitwa kilaza!
Swali lako nimelisoma na lilikuwa ni reflection hiyo hiyo ninayosema. Usidhani kuwa sijui kusoma na kuelewa mambo.
 
Huu ni ujumbe tosha kuwa Tundu Antiphas Lissu ndo mgombea pekee mwenye hoja sahihi mwaka huu.

Nchi hii Uhuru na Haki vimepotea. Sasa ni dhahiri Tumchague Tundu Antiphas Lissu kwa ajiri ya uhuru, haki na maendeleo ya watu!
 
Kite do cha serikali kushindwa kufanya uchunguzi kwa madai ya kukoswa ushirikiano toka kwa Lissu, kunyimwa matibabu na serikali na kuvuliwa ubunge kinyemeka huo ni Ujumbe todha kuwa ni nani alikuwa behind all this.
Unayozungumza yana hisia na yanaweza kumfanya mtu achukie sana ila unasahau kuwa mengine yanatawaliwa na sheria; na Lissu ni mwasheria anayejua maana ya sheria kuchukua mkondo wake na anatakiwa awe mkweli kuhusu hilo. La maana ni kuwa baada ya mashambulizi serikali ilitakiwa ianze mara moja kuwatafuta maharamia wale waliotaka kumwua Lissu. Ila on the other side, CDM kutumia tukio hilo kama political chip ya kuishambulia serikali ilikuwa ni makosa pia. Kama mimi ndiye ningekuwa mwenyekiti CDM labda ninge-handle jambo lile kitofauti, na vile vile kama ningekluwa Rais au Spika huenda pia ningelihandle tofauti. Ninaona kama Chadema walitanguliza ubinafsi wa kisiasa mapema sana wa kutukana wakunga kabla ya kumaliza uzazi, na wakunga nao wakachukulia matusi hayo serious na kuzila kumhudumia mzazi huyo.

Yaani politics za nchi yetu siku hizi ni za kugawa watu badala ya kutafuta kuwaunganisha; kama umeshika makali ya upanga unashindana na mwenye mpini jifunze namna ya kufanya naye kazi kwa makini, usijifanye na wewe umeshika mpini.
 
Endeleeni tu kujitoa ufahamu, na mnaokera zaidi ni wale mnaojitoa ufahamu sio kutokana na itikadi zenu kisiasa bali kwa sababu tu Mkuu wa Nchi probably ni wa kabila lenu au anatokea mnakotokea... nyie ndio mnakera zaidi; watu aina ya Gwajima ambao bila aibu akaamua kuunda mtandao wa kumtetea mkuu wa nchi kwa sababu tu ni Msukuma mwenzako... NI UJINGA ULIOJE!

Hivi bila aibu unaweza kufananisha issue ya Tundu Lissu na Mwaji Mwaikusa? Are you serious?!

Tundu Lissu alishambuliwa ndani ya nyumba za serikali zenye ulinzi 24/7; hivyo ndivyo ilivyokuwa hata kwa Mwaikusa?

Tundu Lissu ni critic wa serikali ambayo imesha-prove kwamba haitaki kukoselwa na ndio maana critics wengi ama wapo mahabusu kwa kesi za kipumbavu tu au kupotezwa kama ilivyokuwa kwa watu aina ya Ben Saanane! Hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa Mwaikusa?

Hivi watu walivyokuwa wanauchukia utawala wa Kikwete wangeshindwa kuihusisha serikali hadi useme ingekuwa siku hizi wangeihusisha serikali moja kwa moja?

Hata kama ilikuwa ni kufunika kombe au vinginevyo, watu walikamatwa na kufikishwa mahakamani kuhusiana na mauaji ya Mwaikusa ambayo yalifanyika mahali ambako hakukua na 24/7 government security! Je, wamekamatwa wangapi kuhusiana na kupigwa risasi with intent to killl kwa Tundu Lissu?

Acheni kutetea ujinga nyie watu! Msidhani nyie ndo mpo salama kwa sababu tu mnatetea walio kwenye mamlaka!! Mbaya zaidi, wala hamtetei kwa kuongozwa kwa itikadi... watu ambao binafsi huwa naheshimu uzwazwa wao hata kwa shingo upande kwa sababu wanachofanya wao ndicho pia huwa kinafanywa na wafuasi wa vyama vya upinzani... kutetea ujinga wa vyama na viongozi wao, lakini kinyume chake wewe wala huelekei kwamba unatetea kwa kuongozwa na itikadi ya CCM!!!
 
🤣
Tanganyika hakuna haki. Si anaruhusiwa kule Zenji lkn.

Huyu ni nguli wa sheria akitaka kazi atafanya hata huko duniani sio lazima hapa.
Maana yake hapa sio duniani tupo kwenye sayari nyingine🤣🤣
 
Kama ni kweli uhasama tunaoujenga sio wa nchi hii.
hapo ni suala la maadili tu,hakuna hasama,wakili msomi hutakiwi kuwa lopo lopo,huyo bange zake zinamdhuru
Akawe mwanasiasa tu
 
Tanganyika hakuna haki. Si anaruhusiwa kule Zenji lkn.

Huyu ni nguli wa sheria akitaka kazi atafanya hata huko duniani sio lazima hapa.

Bado anazo kazi nyingi za kisheria anafanya Uingereza! Kule anatambulika!
 
Makosa yake ni yepi? Huyu mama mwaka huu analo, kule Imma advocates wamemtimua na huku nako pia
Hawezi kufanya kazi za uwakili kama kafutiwa uwakili. IMMMA asingeweza kuendelea na kazi za uwakili labda awe office admin ila siyo partner wa law firm.
Atalipwa stahiki zake zote, hapo ni millions ndefu!

Everyday is Saturday................................ 😎
 
hapo ni suala la maadili tu,hakuna hasama,wakili msomi hutakiwi kuwa lopo lopo,huyo bange zake zinamdhuru
Akawe mwanasiasa tu
Maadili yapi Embu fafanua???

Tuambie pia, kawa lopo lopo kwenye nini???

Ni wapi duniani Wakili hatakiwi kuwa mwanasiasa???
 
Hii nukuu ya Karume ilitakiwa wapinzani waichukue.
Wajue kuwa NEC ni tawi LA ccm.
Kwa hip lazima damu imwagike ili kuitoa ccm madarakani
 
1. Kosa na mazingira yake havijaeleweka na

2. Kosa la ngapi hilo hata astahili adhabu hiyo ya 'kifo'?

3. Hakuna adhabu nyingine kama onyo, onyo kali, faini, suspension nk ila 'kifo'?

4. Alipwewa nafasi ya kujitetea? (Due process).
Kuna kila sababu kusema:

(a) Kwamba uamuzi huu umefanywa kwa holela = arbitrarily

(b) Mazingira yake kimantiki HAYAELEWEKI kwahiyo kuna dalili ya mizengwe = CAPRICIOUSNESS

(c) Kukosekana kwa due process na (a)&(b) hapo juu kunaashiria corruption.

The HALLMARKS OF BAD GOVERNANCE:
1. ARBITRARINESS
2. AMBIGUITY
3. CAPRICIOUSNESS
 
Dah kweli ukifanya kitu kinakirudia kizazi chako!! Huyu babu yake mzaa baba Abeid Karume ktk utawala wake alipiga marufuku mawakili kuingia mahakamani! Haya mjukuu wake naye kazuiwa kufanya kazi ya uwakili.
 
Mkuu labda unapoteza kumbukumbu ya hili jambo. Politics zilikuja baaday e baada ya watu kuzuwa kumuombea makanisani, kuzuiwa kuvaa T-shrt za kumsupport, wana CCM kuzuiwa kumtembelea ... Hiyo ni pamoja na Lissu kuwa amesema hadharani kuwa kuna watu wanamfuatilia ambao anadhani ni wa usalama lakini akapuuzwa!! Hizo coincidence zote, unataka ushahidi gani .... hizo circumstantial evidence zinatosha kumhukumu mtu moja kwa moja!!
 
Hizo ni siasa tu. Tanzania judiciary iliishakufa long time ago. Hatuna kabisa Independent Judiciary.
 
T-Shirt za Lissu zilianza baada ya Lissu kuwa amepigwa risasi na ndipo watu wakawa wanamwombea apone, siyo kwamba alipigwa baada ya watu kuwa wanamwombea. Halafu watu hawakukamwata ilikuwa ndiyo hii ya kuzusha tu, kwani ilibidi Kamanda wa polis atoe tamko kuwa huo ni uzushi tu.

Ni kweli aliwahi kusema kuna watu wanamfuatilia lakini ali-conclude kuwa ni usalama wa taifa bila kuwa amefanya uchunguzi wowote. Zaidi zaidi alitangazia vyombo vya habari bili kuripoti polis kuwa anadhani kuna majambazi wanamfuatilia. Alichanganya sheria na siasa, na wakati mwingine hiyo unakuwa unatoa opportunity zaidi kwa hao majambazi . Zamani kidogo Mwakyembe naye aliwahi kuripoti kufuatiliwa na watu wakitaka kumwua lakini alipeleka taarifa hiyo polisi kwa mkuu wa polis wakati huo akiitwa Mangua (nadhani), ingawa baadaye akalishwa sumu.

Ujambazi bado upo nchini lakini tunapofikia kusema kila ujambazi unafanywa na serikali tunakuwa tunatoa nafasi kwa ujambazi kuendelea kwa vile wanajua kuwa hawatatafutwa, na ukishaihukumu serikali kwa ujambazi huo, ina maana unaondoa au unapunguza sana ushirikiano na serikali hiyo.
 
Ukiwa mtoto wa mfalme ndo usiwajibishwe utukane tu utakavyo? Acha udwanzi we kuwadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…