Fatma Karume aondolewa kwenye orodha ya mawakili (Permanent removal), akutwa na hatia ya kukiuka maadili

Mkuu, watu walizuiwa kuvaa T-shirt za Lissu na kumuombea kiwa mahututi hospital. Ushaona wapi hiyo ....!! Kwa nini hakuna Mbunge yeyote wa CCM alikwenda kumtembelea Lissu Nairobi ... Ndiyo maana nasema all the circumstantial evidence zinapoint upande fulani.

Ni kweli kabisa ujambazi kama huo unaweza kufanywa na watu binafsi ... lakini kitendo cha vyombo vyetu kushindwa kujishugulisha kupeleleza eti wakidai wanamsubiri Lissu, inatia shaka kama kweli wana nia hiyo. Ina maana kama Lissu na dereva wangekufa huo ndo ungekuwa ni mwisho wa upelelezi wao!!
 
Endelea kulala bado kuna ndoto nyingine ya choo inakuja, kitumie kukojoa na kukata gogo.
Ndoto za mtu mwingine zikikutisha ujue unakaribia kulipia kwa matendo yako hapa duniani kabla hatujakupigia chepe.
 

..unazungumzia zamani.

..siku hizi viongozi wa kawaida tu wana misafara, achilia mbali ulinzi.

..eneo aliloshambuliwa TL ni compound yenye makazi ya Naibu Spika na mawaziri kadhaa.

..eneo hilo lina walinzi wa getini, na walinzi ktk nyumba moja moja wanazoishi viongozi.

..swali la kujiuliza ni nani aliondoa walinzi ili kuwapisha magaidi waliotumwa kumshambulia TL?

..pia kuna hoja ya uwepo wa CCTV cameras ktk eneo hilo. Na hili TL amelisema, na inasemekana RPC wa Dodoma aliwahi kunukuliwa na gazeti akidai kuwa Polisi wamechukua CCTV zilizokuwa eneo la tukio.

..la mwisho ni mwenendo wa jeshi la Polisi ni wa kutia mashaka sana. Wanaonekana kama hawataki kufanya uchunguzi na kuwabaini waliotenda unyama ule. Vilevile hawataki chombo kingine chochote kisaidie kufanya uchunguzi. Familia ya TL iliiomba serikali ishirikishe wachunguzi wa kimataifa, lakini serikali imekataa kufanya hivyo.
 
Hivi kuna mawakili wa Tanganyika wanaoshobokea uanachama wa Zanzibar Law Society?
 
AISEE,HIVI BADO KUNA MIMBURULA INAENDELEA KUJIULIZA MASWALI YA KIBWEGE KM HAYA HUKU ALIYESEMA KAPIGWA RISASI NDO KWANZA YUKO MAJUKWAANI KUTETEA TUMBO LAKE,NA HATUJUI HATA NANI ALIYEMPIGA HIZO RISASI NAYEYE MWENYEWE HATAKI IJULIKANE
STFBH.
 
AISEE,HIVI BADO KUNA MIMBURULA INAENDELEA KUJIULIZA MASWALI YA KIBWEGE KM HAYA HUKU ALIYESEMA KAPIGWA RISASI NDO KWANZA YUKO MAJUKWAANI KUTETEA TUMBO LAKE,NA HATUJUI HATA NANI ALIYEMPIGA HIZO RISASI NAYEYE MWENYEWE HATAKI IJULIKANE
STFBH.

..mamlaka zilizoondoa walinzi wa area D zinawafahamu waliompiga risasi TL.
 
Watoto wote wa Mwl JK nyerere hakuna mwenye kazi ya maana sana lakini wanaishi raha mustarehe kwa kodi zetu.
Watoto wa ma Rais wastaafu siyo wenzetu jamani.

Fanya utafiti kabla ya hujazungumzanqomba nikupe mifano Madaraka Nyerere alikuwa ni Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza, Makongoro aliwahi kuwa Mbunge wa Bunge la JMT pamoja na Mbunge wa EALA hizo ni kazi za maana, zinazoeleweka na pia zinakinzana na ujumbe wako hapo juu!
(2) usiteseke sana Watoto wa Nyerere au Viongozi kula Pensheni za wazazi wao nawe tafuta pesa zako au kale ya Baba au Babu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…