johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wapendeni wanaowaudhiNilimpenda Uyu mama , ila namchukia sana kwa sasa sijui kwa nini, Mungu anisaidie sina ugonvi nae ila imetokea mchukia
Mungu wangu anakataa, na siwezi mlazimisha maana wote ni mbolea ijayoWapendeni wanaowaudhi
Mungu akusaidie nini?.Nilimpenda Uyu mama , ila namchukia sana kwa sasa sijui kwa nini, Mungu anisaidie sina ugonvi nae ila imetokea mchukia
ππBiblia inasema, Kila Jambo chini ya Mbingu, lina-, "WAKATI WAKE"
Haitatokea kwa Tanzania hiyo kitu, asijisumbue kuwazaMjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume anesema anatamani Watanzania Wote wangekuwa na ufahamu kama Watoto Wadogo wa Gen Z
Karume amefurahishwa na Kauli ya Gen Z Kwa Ruto kwamba " Sisi ndio tumekuweka hapo na Sisi Tunaweza kukuondoa"
Karume ameongea ukurasani X
Baadae Mlale Unono π
Gen Z wapo duniani kote, ila wakwetu wamerithi utamaduni wetu ambao unahitaji marekebisho chanya (kuondoa nira za utumwa wa fikra na utii wa kikondoo, uliozaa uchawa).Tanzania hatuhitaji ufahamu wa Gen-Z badala, yake jamii zetu zinatakiwa ziamushe ubongo kubuni mbinu za kukabiliana na tabia ya unyumbu waliyonayo viongozi tuliowapa dhamana, unyumbu ni tabia ya waliopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama uoga kwa viongozi wao na kutumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi
Uchawa ni tabia ya unyumbu ambayo a.k.a chawa ana ahirisha kufikiri Kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza na kulituumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi, (human herding is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering or working towards group objectives and fear of their leaders), neno rahisi ni unafikiGen Z wapo duniani kote, ila wakwetu wamerithi utamaduni wetu ambao unahitaji marekebisho chanya (kuondoa nira za utumwa wa fikra na utii wa kikondoo, uliozaa uchawa)...
Watanzania sio wapumbavu kama yeye,mda huu angetangulia au yeye sio Mtanzania?Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume anesema anatamani Watanzania Wote wangekuwa na ufahamu kama Watoto Wadogo wa Gen Z
Karume amefurahishwa na Kauli ya Gen Z Kwa Ruto kwamba " Sisi ndio tumekuweka hapo na Sisi Tunaweza kukuondoa"
Karume ameongea ukurasani X
Baadae Mlale Unono π
Hii ni hatari kwa mustakabali wa taifa.Uchawa ni tabia ya unyumbu ambayo a.k.a chawa ana ahirisha kufikiri Kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza na kulituumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi, (human herding is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering or working towards group objectives and fear of their leaders)
Haitakuwa rahisi kwa sababu wabongo wamejikita sana kwenye imani za kidini.Gen Z wapo duniani kote, ila wakwetu wamerithi utamaduni wetu ambao unahitaji marekebisho chanya (kuondoa nira za utumwa wa fikra na utii wa kikondoo, uliozaa uchawa).
Tujitahidi kabla gen alpha hawajaja kufanya yanayotokea Kenya.
Hii ni assignment ya TISS (kama kansa ya uchawa haijaingia ndani ya taasisi).
[emoji23][emoji23][emoji119]Wapendeni wanaowaudhi
IliHii ni hatari kwa mustakabali wa taifa.
Ukiwa baba, mama, kaka, dada au kiongozi mwenye mamlaka yoyote, fikiria maisha ya baadaye ya taifa lililojengwa kwenye fikra za uchawa na unyumbu. Siyo Uzalendo kupalilia uchawa na unyumbu.
Tunaweza kabisa kutumia akili, hekima na busara kutafuta na kupata uongozi huku tukijenga jamii na taifa bora badala ya kulijeruhi kwa uchawa na unyumbu.
Yasiyoyatarajiwa, (uncertainty) husababishwa na majanga ama binadamu, binadamu ana sababisha yasiyoyatarajiwa Kwa wengine Kwakutokujua ama kwa makusudi kwa tabia ya unyumbu na uchawaHii ni hatari kwa mustakabali wa taifa.
Ukiwa baba, mama, kaka, dada au kiongozi mwenye mamlaka yoyote, fikiria maisha ya baadaye ya taifa lililojengwa kwenye fikra za uchawa na unyumbu. Siyo Uzalendo kupalilia uchawa na unyumbu.
Tunaweza kabisa kutumia akili, hekima na busara kutafuta na kupata uongozi huku tukijenga jamii na taifa bora badala ya kulijeruhi kwa uchawa na unyumbu.
Huyo Mtoto wala sio Gen Z ndio amepigwa Risasi zote hizo huyo Polisi alikuwa amelewa nini?Watanzania sio wapumbavu kama yeye,mda huu angetangulia au yeye sio Mtanzania?
Kwamba haya mambo ndio Haki zenu mnazohitaji au? ππππ
View: https://www.instagram.com/reel/C8uifH2K-Qn/?igsh=cWo4a25xdXh3NTk4