Fatma amekuwa na mtazamo chanya kwa taifa kwa ujumla bila kuangalia anatoka familia gani tofauti na wengine wa daraja lake. Anastahili maua yake. Taifa likiwa na watu aina yake litafika mbali kimaendeleo. Tunahitaji ukweli unaoweka watu wote huru bila kujali daraja la kisiasa, kiuchumi na kijamii.Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume anesema anatamani Watanzania Wote wangekuwa na ufahamu kama Watoto Wadogo wa Gen Z
Karume amefurahishwa na Kauli ya Gen Z Kwa Ruto kwamba " Sisi ndio tumekuweka hapo na Sisi Tunaweza kukuondoa"
Karume ameongea ukurasani X
Baadae Mlale Unono 😃