Fatma Karume atamani Watanzania Wangekuwa na Ufahamu kama Gen Z wa Kenya

Fatma amekuwa na mtazamo chanya kwa taifa kwa ujumla bila kuangalia anatoka familia gani tofauti na wengine wa daraja lake. Anastahili maua yake. Taifa likiwa na watu aina yake litafika mbali kimaendeleo. Tunahitaji ukweli unaoweka watu wote huru bila kujali daraja la kisiasa, kiuchumi na kijamii.
 
Haitakuwa rahisi kwa sababu wabongo wamejikita sana kwenye imani za kidini.
Imani za dini bila akili ni aina nyingine ya utumwa, matapeli (manabii wa uongo) wanaitumia sana.
Mungu wetu (muumba wa mbingu na nchi) hataki na wala hakubali upumbavu, anataka tujifunze na kumjua zaidi kupitia sheria zake za asili.
Uhusiano na yeye ni akili aliyotupatia.
 
Nilimpenda Uyu mama , ila namchukia sana kwa sasa sijui kwa nini, Mungu anisaidie sina ugonvi nae ila imetokea mchukia
Kakufanyia nini kibaya tujuze,isije kuwa kama wafanyabiashara wa arusha waligoma bila kujua sababu
 
Leta skrinishoti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…