Fatma Karume: Darasa la Sheria na Ujasiri

Fatma Karume: Darasa la Sheria na Ujasiri

Suphian Juma

Senior Member
Joined
Apr 2, 2019
Posts
140
Reaction score
577
FATMA KARUME, DARASA LA SHERIA NA UJASIRI.

Nilikuwa na likizo kidogo na nisingepaswa kuwepo online kutokana na maagizo yangu binafsi, ila nimeshindwa kuvumilia;

Tangu nikufahamu, siku ya kwanza niongee nawe ana kwa ana, tangu uwe Rais wa Tanganyika Law Society, hakika wewe Si Dada-Darasa la UJASIRI tu bali nembo ya UELIMISHAJI na USIMAMIZI WA SHERIA, natumaini atakayechaguliwa kukirithi kiti chako atakitendea haki kama wewe ulivyokitendea kutoka kwa kaka Tundu Lissu.

Tanzania inahitaji Chama cha wanasheria na mawakili jasiri na Mwenye utashi wa hali ya juu maana kwa sasa nchi inaongozwa kwa maagizo ya 'hovyohovyo' yasiyooana na Katiba na Sheria zetu.

Nakupenda na kutakia kila la kheri Fatma Karume

FB_IMG_1554484574588.jpeg
 
Suphian Juma kaza buti kijana na pambana upasavyo siasa ya nchi ni kukatishana tamaa, kupigana vita hasa kwa watu wa karibu, pambana kuwa na subra na uvumiliv hakika utafika mbali
 
Back
Top Bottom