johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema endapo Dr Slaa atapatwa na baya lolote hata kufa akiwa mahabusu watu watamlaumu Rais badala ya kumlaumu DPP anayetumia madaraka ya Kikatiba vibaya kwa kuzuia dhamana
Fatma Karume ameomba apewe Namba ya Simu ya DPP Ili azungumze naye kisheria zaidi
Haya yote yamefanyika Ukurasani kwake X
Mlale Unono 🐼
Fatma Karume ameomba apewe Namba ya Simu ya DPP Ili azungumze naye kisheria zaidi
Haya yote yamefanyika Ukurasani kwake X
Mlale Unono 🐼