Kwa nini DPP anaogopa kufanya kazi sawa.Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema endapo Dr Slaa atapatwa na baya lolote hata kufa akiwa mahabusu watu watamlaumu Rais badala ya kumlaumu DPP anayetumia madaraka ya Kikatiba vibaya kwa kuzuia dhamana
Fatma Karume ameomba apewe Namba ya Simu ya DPP Ili azungumze naye kisheria zaidi
Haya yote yamefanyika Ukurasani kwake X
View attachment 3227175
Mlale Unono 🐼
Anaogopa asi pokonywe tonge.
Mwana sharia Mkuu wa zanzibar wa zamani Othman Masudi aliipinga katiba mya ya warioba hakuogopa kukosa Tonge na sasa makamo wa raisi