johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni kweli kabisa ila kama rais angekuwa ni mbara post yake ingemlaumu pia rais huyo. Sheria za TAnzania zinatumika vibaya sana na mahakama zimekuwa kama kibogoyo zinakosa maamuziMjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema endapo Dr Slaa atapatwa na baya lolote hata kufa akiwa mahabusu watu watamlaumu Rais badala ya kumlaumu DPP anayetumia madaraka ya Kikatiba vibaya kwa kuzuia dhamana
Fatma Karume ameomba apewe Namba ya Simu ya DPP Ili azungumze naye kisheria zaidi
Haya yote yamefanyika Ukurasani kwake X
Mlale Unono ๐ผ
Huyu huyu aliyekubatiza na Sasa unakula Supu ya ngozi ya nguruwe ๐huyu?
Dr slaa aliefunga mkataba Kati ya serekali na kanisa? MoU? Au mwengine?
DPP ni bendera inafuata tu maelekezo ya upepo!Hivi bado yupo ndani ?
DPP anapokea maelekezo toka kwa SamiaMjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema endapo Dr Slaa atapatwa na baya lolote hata kufa akiwa mahabusu watu watamlaumu Rais badala ya kumlaumu DPP anayetumia madaraka ya Kikatiba vibaya kwa kuzuia dhamana
Fatma Karume ameomba apewe Namba ya Simu ya DPP Ili azungumze naye kisheria zaidi
Haya yote yamefanyika Ukurasani kwake X
Mlale Unono ๐ผ
Bado, anachofanyiwa ni kama alichofanyiwa Lema unapewa adhabu ya kifungo kabla ya kesi kupelekwa mahakamaniDPP ni bendera inafuata tu maelekezo ya upepo!
Duuh!Hivi bado yupo ndani ?
DPP anafanya hivyo kumfurahisha nani? Hawezi kukwepa lawama.DPP anayetumia madaraka ya Kikatiba vibaya kwa kuzuia dhamana
Yote ni mikakati ya wale wenye kupanga mama ashinde uchaguzi kwa kishindo wakati uchaguzi ukiwa wa haki hawezi kushinda. Ameanza na kukandamiza demokrasia kwa kukanyaga katiba ya chama chake kupitishwa kihuni na kwa hila kua mgombea urais. Hapo wapambe wa mama wanaogopa kama Dr Slaa anaweza tokea mgombea urais kupitia chama kimojawapo. Dr. Slaa ni kiongozi aliyejiwekea heshima kubwa na kutambulika kama muadilifu mpenda haki usawa na jasiri.Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema endapo Dr Slaa atapatwa na baya lolote hata kufa akiwa mahabusu watu watamlaumu Rais badala ya kumlaumu DPP anayetumia madaraka ya Kikatiba vibaya kwa kuzuia dhamana
Fatma Karume ameomba apewe Namba ya Simu ya DPP Ili azungumze naye kisheria zaidi
Haya yote yamefanyika Ukurasani kwake X
View attachment 3227175
Mlale Unono ๐ผ
Wanawake kusikia raha ndo zetu.. kipi cha ajabu hapoYaani nasikia raha
Slaa hakusoma alama za nyakati,sasa sio firebrand yupo yupo tu.Wampe hata nyembe anyowe zile ndevu. Amekuwa kituko. Mzee amechoka balaa.
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema endapo Dr Slaa atapatwa na baya lolote hata kufa akiwa mahabusu watu watamlaumu Rais badala ya kumlaumu DPP anayetumia madaraka ya Kikatiba vibaya kwa kuzuia dhamana
Fatma Karume ameomba apewe Namba ya Simu ya DPP Ili azungumze naye kisheria zaidi
Haya yote yamefanyika Ukurasani kwake X
View attachment 3227175
Mlale Unono ๐ผ
Gentleman unazinguaMzee slaa ana laana ๐
sure gentleman,Gentleman unazingua