Fatma Karume kufungua kesi dhidi ya Tume ya Uchaguzi kupinga ubaguzi kwenye Ajira ya Msimamizi wa Uchaguzi

Fatma Karume kufungua kesi dhidi ya Tume ya Uchaguzi kupinga ubaguzi kwenye Ajira ya Msimamizi wa Uchaguzi

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Fatma anahoji kwa nini Tume inawabagua wasio watumishi wa watu umma? anahoji pia, kwa nini wenye ajira wanaongezewa ajira na kuwaacha vijana wengi wasomi wasio na ajira mitaanani.

Tume ya Uchaguzi imetangaza ajira za Msimamizi wa Uchaguzi sharti mojawapo lazima uwe mtumishi wa Umma.

Hizi ndizo baadhi ya reforms zinazopiganiwa na Chadema zifanyiwe marekebisho.
 
Siku zote Time inachagua watumishi wa Umeme, Kwa sababu Watumishi wa Umma ni Waoga, wajinga, wakiambiwa ukileta za kuleta unaondoshwa kazin.

Hapo wameshachukuliwa taarifa zao zote binafsi , tunaambiwa walimu na Manurse wanaanza kulia lia .

Na tume inapendelea sana Wanawake !!.


Wakati huo Kuna Vijana wa vyuo vikuu ambao hawana Ajira na wako tu mtaani.
 
Back
Top Bottom