Tetesi: Fatma Karume "Shangazi" Kumgaragaza Feleshi

Tetesi: Fatma Karume "Shangazi" Kumgaragaza Feleshi

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
Baada ya TLS kutoa tamko kuhusu Shangazi, na baada ya kuonekana jaji Feleshi alichukua maamuzi ili kumfurahisha "mfalme" ambaye ndiye mshitakiwa,sasa imejulikana wazi kwamba kanuni kuu ya sheria yaani "audi altem patern rule" kwamba SHANGAZI HAKUPEWA NAFASI YA KUIKILIZWA.

episode two inakuja
 
Attachments

Which it means the judge should not have any subject to the case.. What it is called on the Law Words?
nope, it means, A judge should not condemn someone without affording him a chance to defend, its a rule against natural justice.
even myself as a junior judge, i cannot do such a thing
 
nope, it means, A judge should not condemn someone without affording him a chance to defend, its a rule against natural justice.
even myself as a junior judge, i cannot do such a thing
Absolutely wrong!
 
Dr. Feleshi alikua anautafuta kwa nguvu u"CHIEF JUSTICE" hata kabla hajaapishwa kua "JUSTICE OF THE COURT OF APPEAL (Judge Wa Mahakama Ya Rufaa). So sad kaangukia pua.
 
mh,huyu feleshi si ndo dpp ?,,,,,,,ooh no nimekumbuka kweli alipanda cheo,dpp ni somebody maganga ,ila itakuwa aibu sana kwa taifa iwapo itaonekana jaji alikurupuka hapa
 
Back
Top Bottom