Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,206 Reaction score 18,549 Jul 28, 2017 #1 Fatma karume kwa maoni yangu anafaa sana kugombea urais wa Zanzibar kupitia chadema .. Maoni yangu tuu..
Fatma karume kwa maoni yangu anafaa sana kugombea urais wa Zanzibar kupitia chadema .. Maoni yangu tuu..
Leak JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,916 Reaction score 43,505 Jul 28, 2017 #2 hahahahaha kama namuona Maalim Seif anavyolia na UKAWA
MAGALEMWA JF-Expert Member Joined Jul 8, 2015 Posts 6,413 Reaction score 4,885 Jul 28, 2017 #3 Taputapu
Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,206 Reaction score 18,549 Jul 28, 2017 Thread starter #4
K kipumbwi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 3,162 Reaction score 9,073 Jul 28, 2017 #5 Tunawahitaji watu jasiri kama yeye na sio wachumia tumbo wa CCM,sio lazima awe raisi ila sauti yake tu kwenye dhulma na haki ni tunu tosha. Ali Karume anatakiwa kuwa na aibu hata robo tu kwa kumuangalia mtoto wa kaka yake!!!!
Tunawahitaji watu jasiri kama yeye na sio wachumia tumbo wa CCM,sio lazima awe raisi ila sauti yake tu kwenye dhulma na haki ni tunu tosha. Ali Karume anatakiwa kuwa na aibu hata robo tu kwa kumuangalia mtoto wa kaka yake!!!!
Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,206 Reaction score 18,549 Jul 28, 2017 Thread starter #6 Ruttashobolwa said: hahahahaha kama namuona Maalim Seif anavyolia na UKAWA Click to expand... ccm wanafurahia , kuu cuf
Ruttashobolwa said: hahahahaha kama namuona Maalim Seif anavyolia na UKAWA Click to expand... ccm wanafurahia , kuu cuf
jingalao JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 36,197 Reaction score 29,717 Jul 28, 2017 #7 Bongo bana...ukionekana kwenye TV wiki tu unafaa kuwa mgombea!
Warrior JF-Expert Member Joined Oct 2, 2015 Posts 737 Reaction score 765 Jul 28, 2017 #8 [emoji13][emoji13] duuh hii kali sasa na maalim seif atakuwa mgombea mwenza au !!!
kigogo warioba JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 6,048 Reaction score 9,398 Jul 28, 2017 #9 atasaidiana na mange, maana wanafanana kiaina!
bigmind JF-Expert Member Joined Oct 28, 2015 Posts 12,457 Reaction score 12,689 Jul 28, 2017 #10 Bado ana safari ndefu hapo hajaitwa mwana wa masulia siyo muda utasikia yeye ni mjukuu wa sultan[emoji125][emoji125][emoji125] Sent using Jamii Forums mobile app
Bado ana safari ndefu hapo hajaitwa mwana wa masulia siyo muda utasikia yeye ni mjukuu wa sultan[emoji125][emoji125][emoji125] Sent using Jamii Forums mobile app
H HEKIMA KWANZA JF-Expert Member Joined Mar 31, 2015 Posts 2,942 Reaction score 3,937 Jul 28, 2017 #11 Tabutupu said: Fatma karume kwa maoni yangu anafaa sana kugombea urais wa Zanzibar kupitia chadema .. Maoni yangu tuu.. Click to expand... Hivi Tanzania hakuna ajira nyingine zaidi ya urais? Kila mtu anataka kuwa rais, kuna nini?
Tabutupu said: Fatma karume kwa maoni yangu anafaa sana kugombea urais wa Zanzibar kupitia chadema .. Maoni yangu tuu.. Click to expand... Hivi Tanzania hakuna ajira nyingine zaidi ya urais? Kila mtu anataka kuwa rais, kuna nini?
Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,206 Reaction score 18,549 Jul 28, 2017 Thread starter #12 HEKIMA KWANZA said: Hivi Tanzania hakuna ajira nyingine zaidi ya urais? Kila mtu anataka kuwa rais, kuna nini? Click to expand... Ivi huoni aliyepo madarakani anavyo tunyima ajira wakati yeye tumemwajiri
HEKIMA KWANZA said: Hivi Tanzania hakuna ajira nyingine zaidi ya urais? Kila mtu anataka kuwa rais, kuna nini? Click to expand... Ivi huoni aliyepo madarakani anavyo tunyima ajira wakati yeye tumemwajiri
evansGREATDeal JF-Expert Member Joined Jan 4, 2016 Posts 4,013 Reaction score 2,333 Jul 28, 2017 #13 Mdada msosi anajua haki zake .[emoji115][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111] Sent using Jamii Forums mobile app
Mdada msosi anajua haki zake .[emoji115][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111] Sent using Jamii Forums mobile app
CCM MKAMBARANI JF-Expert Member Joined Mar 15, 2017 Posts 2,031 Reaction score 1,514 Jul 28, 2017 #14 hafai muislam gani anaachia nywele wazi
Tulimumu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2013 Posts 14,409 Reaction score 13,262 Jul 28, 2017 #15 Kwa mujibu wa katiba, una haki ya kutoa maoni yako bila kulazika au kulazimishwa kupimwa mkojo Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu wa katiba, una haki ya kutoa maoni yako bila kulazika au kulazimishwa kupimwa mkojo Sent using Jamii Forums mobile app
Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,206 Reaction score 18,549 Jul 28, 2017 Thread starter #16 CCM MKAMBARANI said: hafai muislam gani anaachia nywele wazi Click to expand... Acha udini
kenstar JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 2,276 Reaction score 1,443 Jul 28, 2017 #17 Wote huwa ni wema na wazuri na wazalendo kabla hawajapata Madaraka ya kulevya. Sent using Jamii Forums mobile app
Wote huwa ni wema na wazuri na wazalendo kabla hawajapata Madaraka ya kulevya. Sent using Jamii Forums mobile app
mmh JF-Expert Member Joined Nov 9, 2010 Posts 2,910 Reaction score 5,084 Jul 28, 2017 #18 nawashangaa sana kanda ya Ziwa na maziwa makuu ambao bado wako chadema. maana mlishaonyeshwa pa kwenda na lisu.
nawashangaa sana kanda ya Ziwa na maziwa makuu ambao bado wako chadema. maana mlishaonyeshwa pa kwenda na lisu.
Bob Kawari JF-Expert Member Joined Feb 1, 2015 Posts 1,231 Reaction score 1,621 Jul 28, 2017 #19 Atakua mgombea mwenza wa lowasa huku bara.... Sent using Jamii Forums mobile app
Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,206 Reaction score 18,549 Jul 28, 2017 Thread starter #20 Bob Kawari said: Atakua mgombea mwenza wa lowasa huku bara.... Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... 2020 tunampiga chini shain chadema itaanzian utawala zanzibar.
Bob Kawari said: Atakua mgombea mwenza wa lowasa huku bara.... Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... 2020 tunampiga chini shain chadema itaanzian utawala zanzibar.