Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
umeona jina anaitwa CCM Mkambarani!Acha udini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeona jina anaitwa CCM Mkambarani!Acha udini
Kama alivyopata kuitwa Salim Ahmed SalimBado ana safari ndefu hapo hajaitwa mwana wa masulia siyo muda utasikia yeye ni mjukuu wa sultan[emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hamjajifunza tu. Kweli chadema sikio la kufaFatma karume kwa maoni yangu anafaa sana kugombea urais wa Zanzibar kupitia chadema ..
Maoni yangu tuu..
kwa lipi kubwa aliloifanyia zanzibar?yaani kick moja kumshitaki askari ndio hadi ikulu?Fatma karume kwa maoni yangu anafaa sana kugombea urais wa Zanzibar kupitia chadema ..
Maoni yangu tuu..
Fatma karume kwa maoni yangu anafaa sana kugombea urais wa Zanzibar kupitia chadema ..
Maoni yangu tuu..
mna matatizo makubwa sana chadema na sidhani kama 2020 mtakuwa na afya njema za kuhudumu walau iludiwani tu2020 tunampiga chini shain chadema itaanzian utawala zanzibar.
Una kiherehere kama mkia wa mbuzi.hafai muislam gani anaachia nywele wazi
Wengine tunataka urais wa tiptop, wasafi WC na siyo kila atakaye urais anataka kuwa km JMP!Hivi Tanzania hakuna ajira nyingine zaidi ya urais? Kila mtu anataka kuwa rais, kuna nini?
ALAFU WEWE NDIO MBUZI MWENYEWEUna kiherehere kama mkia wa mbuzi.