Mkuu Sina hakika Kama hiyo ndo sababu kuu.ninachojua Mimi jiwe ameua kabisa hata zile akili ndogo ambazo watu walikuwa nazo kwa maana hiyo mteule mmoja wa magu akielekea kibra basi vilaza wote wa ccm wanaelekea huko.no more thinkingNahisi mkanganyiko unachangiwa na hii Sheria mpya ambayo inaweka zuio kwa Wakuu wa Mihimili hiyo kushitakiwa Mahakamani isipokuwa kupitia kwa Attorney General. Hii inaweza kuleta hisia kuwa Mihimili yote hiyo mitatu inawakilishwa na Attorney General ambae ni sehemu ya Serikali.
Amandla...
We si umesema dola =executive?Wapi nimeandika state ndo government we kilaza?
Mh... Separation of powers! Somo gumu sana.Hata wewe Serikali haina mihimili 3 ila kuna Mihimili 3 nayo ni
1.Serikali
2.Mahakama
3.Bunge
Nkoi mtu kakuwekea na reference bado huelewi ?!. Sawah nahenhe . Natohayaga gete. Kama Kiswahili cha Fatuma hukukielewaSerikali ni mhimili mmoja kati ya 3,ana maanisha nini?
Serikali ina mihimili 3,Executive judiciary and Legislature, kosa liko wapi? Maana ni serikali moja iliyojigawa katika mihimili mitatu.
Chadema imejaa wavuta bangi na wanywa konyagi. Upuuzi kama huu sio wa kushabikia.
Ibara ya 59(3) haihusiki na separation of powers in Tanzania. Soma ibara ya 4 ndio inatoa majibu. State authority shall be exercised by executive,judiciary and legislative. Ni serikali ambayo imefanya separation of powers. Sasa nashangaa Chadema nzima hawajui?Nkoi mtu kakuwekea na reference bado huelewi ?!. Sawah nahenhe . Natohayaga gete. Kama Kiswahili cha Fatuma hukukielewa
Hiyo kitu huwa inachanganya sana watu. Ukisoma vizuri masuala ya sheria utakuta inataja three organs of the state; Executive, Legislature and Judiciary. Executive ndio huwa inachanganya; kwa Kiswahili Executive ni serikali na wakati mwingine watu wanachanganya serikali na dola (State) huwa neno hili linatumika interchangeably. Ukweli ni kwamba Dola ina mihimili mitatu yaani Serikali, Bunge na Mahakama.Serikali ni mhimili mmoja kati ya 3,ana maanisha nini?
Serikali ina mihimili 3,Executive judiciary and Legislature, kosa liko wapi? Maana ni serikali moja iliyojigawa katika mihimili mitatu.
Chadema imejaa wavuta bangi na wanywa konyagi. Upuuzi kama huu sio wa kushabikia.
Kama alishangazwa na uteuzi kwa kuwa hayuko competent kwenye hiyo nafasi na still akakubali uteuzi,Basi ni kilaza wa ukweliThere you are! Kumbe wampata..Kilangi ni gwiji kwenye International Law lakini hna credentials za kuwa AG. Source kutoka kwa insider: yeye mwenyewe alishangazwa kwa kuteuliwa kuwa AG. Hii nchi ina matatizo sana!!!
Mkuu Soma post zangu vizuri,Mimi si kilaza wa kiwango Cha wanaccmWe si umesema dola =executive?
Mkuu kwani wewe mgeni na wasomi wa nchii hii? Ukiingia CCM akili wazikabidhi reception.Kama alishangazwa na uteuzi kwa kuwa hayuko competent kwenye hiyo nafasi na still akakubali uteuzi,Basi ni kilaza wa ukweli
Mkuu hicho ulichoandika kwa kiingereza umeona kweli kimefanana na huo utopolo uliomalizia nao kwa kiswahili?Ibara ya 59(3) haihusiki na separation of powers in Tanzania. Soma ibara ya 4 ndio inatoa majibu. State authority shall be exercised by executive,judiciary and legislative. Ni serikali ambayo imefanya separation of powers. Sasa nashangaa Chadema nzima hawajui?
Wote ambao wamesoma hivyo vifungu vya katiba na hawajaelewa kilichoandikwa ni MACHOKOOOOO KAMA MACHOKOO WENGINEE TU.
Mwenyewe naelewa basi! Sielewi hata.Sielewi umeandika nn toka kwenye andiko langu
Mambo mawili;Kuwa kwake mjumbe wa tume ya utumishi wa umma anapataje mamlaka ya kuwa mshauri wa mahakama?
Elimu hii sijui aliegundua Mlima Kilimanjaro Rebman,Ziwa Victoria Stanley.. Aaaa mkuu hivi tuelezee organs of the State sasa msomi wa CivicsMwanasheria mkuu yupo sahihi, huyo Fatuma karume kapuyanga hapo. Hata shuleni somo la Civics tu inafundishwa matawi ya serikali ni matatu, ambayo ni excutive(serikali kuu inayohusika na utrndaji wa serikali nzima), Judiciary(Mahakama) na Legislature(Bunge).
Haya kwa pamoja huitwa branches of government(matawi ya serikali). Mtoto wa kidato cha tatu tu anaweza kukufafanulia kuhusu hilo, sikutarajia mwanasheria kama yeye angeweza kukuruouka tu.
Excutive ambayo anaisemea ni serikali nzima, anakosea sana. Lile ni tawi la serikali tu linahusika na utendaji mkuu, na si kwamba linabeba serikali nzima.
Sitarajii na watu humu ambao mmemaliza hata vidato vyote, mkakaa na kulibishia suala hili. Wakati huko mlifindishwa serikali ni nini, na matawi ya serikali ni yapi. Hata ukiingia kwenye article zenye kuijadili serikali ya Tanzania. Zinaonesha hilo
Jina la kifala,heri ujiite mavi...Wivu wa kike huo.....
Jina linakukwaza?
Wewe umesema dola ina mihimli mitatu. So state inaweza kuwa na branches?Mkuu Soma post zangu vizuri,Mimi si kilaza wa kiwango Cha wanaccm
Jina la kifala,heri ujiite mavi...
Themafulianz ni jina lipo bottom of the toilet!
Mkuu soma vitabu vizuri. Dola ambayo ni state ni territory. Dola huwa inajumuisha mipaka yake,watu na vitu vingine. Ndio maana katiba yetu inasema Tanzania is one state which is a United Republic.Hiyo kitu huwa inachanganya sana watu. Ukisoma vizuri masuala ya sheria utakuta inataja three organs of the state; Executive, Legislature and Judiciary. Executive ndio huwa inachanganya; kwa Kiswahili Executive ni serikali na wakati mwingine watu wanachanganya serikali na dola (State) huwa neno hili linatumika interchangeably. Ukweli ni kwamba Dola ina mihimili mitatu yaani Serikali, Bunge na Mahakama.