Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Nahisi mkanganyiko unachangiwa na hii Sheria mpya ambayo inaweka zuio kwa Wakuu wa Mihimili hiyo kushitakiwa Mahakamani isipokuwa kupitia kwa Attorney General. Hii inaweza kuleta hisia kuwa Mihimili yote hiyo mitatu inawakilishwa na Attorney General ambae ni sehemu ya Serikali.

Amandla...
Mkuu Sina hakika Kama hiyo ndo sababu kuu.ninachojua Mimi jiwe ameua kabisa hata zile akili ndogo ambazo watu walikuwa nazo kwa maana hiyo mteule mmoja wa magu akielekea kibra basi vilaza wote wa ccm wanaelekea huko.no more thinking
 
Serikali ni mhimili mmoja kati ya 3,ana maanisha nini?
Serikali ina mihimili 3,Executive judiciary and Legislature, kosa liko wapi? Maana ni serikali moja iliyojigawa katika mihimili mitatu.
Chadema imejaa wavuta bangi na wanywa konyagi. Upuuzi kama huu sio wa kushabikia.
Nkoi mtu kakuwekea na reference bado huelewi ?!. Sawah nahenhe . Natohayaga gete. Kama Kiswahili cha Fatuma hukukielewa
 
Nkoi mtu kakuwekea na reference bado huelewi ?!. Sawah nahenhe . Natohayaga gete. Kama Kiswahili cha Fatuma hukukielewa
Ibara ya 59(3) haihusiki na separation of powers in Tanzania. Soma ibara ya 4 ndio inatoa majibu. State authority shall be exercised by executive,judiciary and legislative. Ni serikali ambayo imefanya separation of powers. Sasa nashangaa Chadema nzima hawajui?
 
Serikali ni mhimili mmoja kati ya 3,ana maanisha nini?
Serikali ina mihimili 3,Executive judiciary and Legislature, kosa liko wapi? Maana ni serikali moja iliyojigawa katika mihimili mitatu.
Chadema imejaa wavuta bangi na wanywa konyagi. Upuuzi kama huu sio wa kushabikia.
Hiyo kitu huwa inachanganya sana watu. Ukisoma vizuri masuala ya sheria utakuta inataja three organs of the state; Executive, Legislature and Judiciary. Executive ndio huwa inachanganya; kwa Kiswahili Executive ni serikali na wakati mwingine watu wanachanganya serikali na dola (State) huwa neno hili linatumika interchangeably. Ukweli ni kwamba Dola ina mihimili mitatu yaani Serikali, Bunge na Mahakama.
 
There you are! Kumbe wampata..Kilangi ni gwiji kwenye International Law lakini hna credentials za kuwa AG. Source kutoka kwa insider: yeye mwenyewe alishangazwa kwa kuteuliwa kuwa AG. Hii nchi ina matatizo sana!!!
Kama alishangazwa na uteuzi kwa kuwa hayuko competent kwenye hiyo nafasi na still akakubali uteuzi,Basi ni kilaza wa ukweli
 
Ibara ya 59(3) haihusiki na separation of powers in Tanzania. Soma ibara ya 4 ndio inatoa majibu. State authority shall be exercised by executive,judiciary and legislative. Ni serikali ambayo imefanya separation of powers. Sasa nashangaa Chadema nzima hawajui?
Mkuu hicho ulichoandika kwa kiingereza umeona kweli kimefanana na huo utopolo uliomalizia nao kwa kiswahili?
 
Wote ambao wamesoma hivyo vifungu vya katika nahajaelewa kilichoandikwa ni MACHOKOOOOO KAMA MACHOKOO WENGINEE TU.
 
Kuwa kwake mjumbe wa tume ya utumishi wa umma anapataje mamlaka ya kuwa mshauri wa mahakama?
Mambo mawili;
1. Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni Wakili hivyo kwa yeye kuwa mtaalamu wa masuala ya Sheria anaswihi kumshauri mtu/taasisi kuhusu sheria

2. Kwa mujibu wa katiba (sikumbuki kifungu)
 
Mwanasheria mkuu yupo sahihi, huyo Fatuma karume kapuyanga hapo. Hata shuleni somo la Civics tu inafundishwa matawi ya serikali ni matatu, ambayo ni excutive(serikali kuu inayohusika na utrndaji wa serikali nzima), Judiciary(Mahakama) na Legislature(Bunge).

Haya kwa pamoja huitwa branches of government(matawi ya serikali). Mtoto wa kidato cha tatu tu anaweza kukufafanulia kuhusu hilo, sikutarajia mwanasheria kama yeye angeweza kukuruouka tu.

Excutive ambayo anaisemea ni serikali nzima, anakosea sana. Lile ni tawi la serikali tu linahusika na utendaji mkuu, na si kwamba linabeba serikali nzima.

Sitarajii na watu humu ambao mmemaliza hata vidato vyote, mkakaa na kulibishia suala hili. Wakati huko mlifindishwa serikali ni nini, na matawi ya serikali ni yapi. Hata ukiingia kwenye article zenye kuijadili serikali ya Tanzania. Zinaonesha hilo
Elimu hii sijui aliegundua Mlima Kilimanjaro Rebman,Ziwa Victoria Stanley.. Aaaa mkuu hivi tuelezee organs of the State sasa msomi wa Civics
 
Hivi huyo bishangazi hajaenda kuchukua fomu ya kugombea uraisi kule kwao? ... Ana gubu balaa!!. 😳
 
Hiyo kitu huwa inachanganya sana watu. Ukisoma vizuri masuala ya sheria utakuta inataja three organs of the state; Executive, Legislature and Judiciary. Executive ndio huwa inachanganya; kwa Kiswahili Executive ni serikali na wakati mwingine watu wanachanganya serikali na dola (State) huwa neno hili linatumika interchangeably. Ukweli ni kwamba Dola ina mihimili mitatu yaani Serikali, Bunge na Mahakama.
Mkuu soma vitabu vizuri. Dola ambayo ni state ni territory. Dola huwa inajumuisha mipaka yake,watu na vitu vingine. Ndio maana katiba yetu inasema Tanzania is one state which is a United Republic.
Government inaundwa na watu wachache ambao ni wawakilishi. Na hawa wanaunda serikali baada ya kuchaguliwa. Na government ina branches tatu...
 
Back
Top Bottom