Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Sasa, nashukuru kwa ufafanuzi, twende kwenye main theme, shangazi hajui màana ya Executive mpaka ashindwe kuelewa tofauti ya government na executive?
 
Yaani Professor wa sheria tena AG hajui tofauti kati ya dola na serikali ??.
Kwa hiyo anayetaka kuongeza Dola ina maana akifanikiwa ataongoza vyote, Serikali, Bunge na Mahakama?
 
Hiyo katiba yenyewe haieleweki.
 
Mkuu niombe radhi,yaani nitoke kusoma mzumbe secondary shule ya watoto wenye vipaji maalum miaka hiyo then nikachukue degree yangu Tumaini University? Any way tuyaache hayo.Kwahiyo kwa akili yako serikali ndo ina mihimili mitatu siyo?
Kijana ulikuwa una stay kijiji gani pale uMzumbeni,
Shebi Robby
Mkwawa
Karume au Mirambo kwa Njawa ?
 
Sasa, nashukuru kwa ufafanuzi, twende kwenye main theme, shangazi hajui màana ya Executive mpaka ashindwe kuelewa tofauti ya government na executive?
Shangazi yuko sahihi. Government (serikali) ndio Executive, hamna tofauti. Government au Executive ni mhimili mmojawapo wa dola (State). Government (Serikali) sio dola. Ninavyoelewa mimi, AG kama Mshauri Mkuu wa Serikali hawezi kuwa Mshauri Mkuu wa Bunge au Mahakama. Spika anapomuomba atoe ufafanuzi kuhusu suala la kisheria ni sawa tu kama Spika aliyepita alivyokuwa anamuomba Lissu atoe ufafanuzi kuhusu jambo fulani.

Amandla...
 
Google : branches of government you will see what it is.
 
Civics ulifundishwa na 'mwanasheria'? Ulipotoshwa na upotoshaji unaanzia huko shuleni walimu wanawachanganya wanafunzi,
 
Hata ukiangalia shangazi ndiyo mkongwe kwenye kufanya kazi za uwakili kuliko AG
 
Acha kuongea pumba we kenge. Branches au mihimili ya serikali ni mitatu. Executive,judiciary na legislature. Huyo Bibi kizee anajua nini?
Sio kweli
Serikali ni moja ya mihimili mitatu yaani bunge,serikali na mahakama basi
Na kila mmoja hapo ana Nazi zake bunge kutunga sheria,serikali kutekeleza sheria mahakama kuzitafsiri sheria simple as such.
 
Duuuh hatari sana...kumbe na wewe umeona...Elimu ye kijinga hii yaani ulivyotokwa povu uwezi ata kutofautisha Dola na Serikali (State and Government)
Aibu kubwa sana kwa wanachama wa Chadema kuwa mbumbumbu huki wakijifanya wanataka chama chao kikamate dola,wakati hawajui dola ni nini na serikali nini.
Dola inajumuisha mipaka,watu,uhuru wa kujitawala n.k
Serikali ni watu wachache waliochaguliwa ambao ni wawakilishi,hawa ndio huwa wanaunda serikali na serikali huwa na branches tatu(mihimili).
Ndio maan Rais anamteua CJ majaji n.k,Spik nae anatoka kwenye chama kinachounda serikali
Aibu kwa Cdm Bishweko
 
spika anaweza asitoke kwenye chama kinachounda serikali vilevile
 
Acha kabisa ni aibu kweli kweli yaani awajui kua Spika anateuliwa na Rais !!
Yaani wanashindwa kutofauti State na Nation- State alafu State na Government.
 
Sio kweli
Serikali ni moja ya mihimili mitatu yaani bunge,serikali na mahakama basi
Na kila mmoja hapo ana Nazi zake bunge kutunga sheria,serikali kutekeleza sheria mahakama kuzitafsiri sheria simple as such.
Duuuh hii Elimu bwana...

Branches of the State
Executive
Legislature
Judiciary
Branches Of Government(Executive)
1.Central Gov
2.Local Gov
NOTE:Apo Naongelea Serikali ya kwetu lakini sio hiyo ya kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…