Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Duh!Acheni kuchanganya mambo hebu nipe tofauti ya nation, government na executive labda ndo naweza nikakuelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!Acheni kuchanganya mambo hebu nipe tofauti ya nation, government na executive labda ndo naweza nikakuelewa.
Sasa, nashukuru kwa ufafanuzi, twende kwenye main theme, shangazi hajui màana ya Executive mpaka ashindwe kuelewa tofauti ya government na executive?AG ni sehemu ya Bunge kama walivyo mawaziri (ambao nao ni sehemu ya Executive) isipokuwa yeye hana haki ya kupiga kura. AG ni Mshauri Mkuu wa serikali kwenye mambo ya sheria. Aidha, ni wajibu wake kuhakikisha kuwa maamuzi na matendo ya serikali hayakizani na sheria. Mshauri Mkuu wa Bunge kuhusu Sheria anaitwa Chief Parliamentary Legal Counsel (CPLC), na ni huyu ndie anatakiwa kutoa ufafanuzi wa masuala yote ya sheria ndani ya Bunge. Labda AG anakaribishwa kutoa ufafanuzi wa kisheria kwa sababu karibu bill zote zinaanzishwa na serikali ( bill huandikwa na Chief Parliamentary Draftsman ambae ni sehemu ya Ofisi ya AG) na yeye anahusika sana katika utayarishaji wake. Tatizo litajitokeza pale ambapo bill binafsi italetwa na Mbunge asie sehemu ya serikali. AG hapo hawezi kutoa ufafanuzi maana hatakuwa amehusika katika utayarishaji wake. Bill ikipitishwa na Bunge, inaandikwa upya na Ofisi ya Katibu wa Bunge ( ikiwa na marekebisho yaliyojitokeza kama yapo). Katibu wa Bunge ndie anaiwasilisha kwa Mheshimiwa Rais ili ipate ridhaa yake kabla ya kuwa sheria. AG hapaswi kuhusika katika uandishi wa bill baada ya kupitishwa na Bunge. Jukumu hilo nila CPLC.
Amandla...
Kwa hiyo anayetaka kuongeza Dola ina maana akifanikiwa ataongoza vyote, Serikali, Bunge na Mahakama?Yaani Professor wa sheria tena AG hajui tofauti kati ya dola na serikali ??.
Na siyo sahihi kusema anataka kuongoza dola.Kwa hiyo anayetaka kuongeza Dola ina maana akifanikiwa ataongoza vyote, Serikali, Bunge na Mahakama?
Hiyo katiba yenyewe haieleweki.1/Leo Adelardus katoa ushahidi dhidi yangu akisema yeye ni mshauri wa Serikali chini ya Ibara 59(3) ya Katiba na Serikali Ina mihimili 3, EXECUTIVE, LEGISLATIVE na JUDICIARY! Mungu wangu! Kwa kweli siwezi kupoteza muda wangu na mtu asiyeelewa KATIBA halafu ni MWANASHERIA MKUU! https://t.co/NTobVxfrc7
View attachment 1486607
2/ Kwa kusema SERIKALI Ina Mihimili 3, Executive, Judiciary na Legislative Ina maana Adelardus haielewi KATIBA yetu kabisa. Basi hata ibara ya 4 hajaisoma? Serikali ni MIHIMILI 1 kati ya 3. Siwezi kupoteza muda kumsikiliza AG asiyeielewa KATIBA yetu! https://t.co/wQuAbijdoyView attachment 1486611
Kijana ulikuwa una stay kijiji gani pale uMzumbeni,Mkuu niombe radhi,yaani nitoke kusoma mzumbe secondary shule ya watoto wenye vipaji maalum miaka hiyo then nikachukue degree yangu Tumaini University? Any way tuyaache hayo.Kwahiyo kwa akili yako serikali ndo ina mihimili mitatu siyo?
Shangazi yuko sahihi. Government (serikali) ndio Executive, hamna tofauti. Government au Executive ni mhimili mmojawapo wa dola (State). Government (Serikali) sio dola. Ninavyoelewa mimi, AG kama Mshauri Mkuu wa Serikali hawezi kuwa Mshauri Mkuu wa Bunge au Mahakama. Spika anapomuomba atoe ufafanuzi kuhusu suala la kisheria ni sawa tu kama Spika aliyepita alivyokuwa anamuomba Lissu atoe ufafanuzi kuhusu jambo fulani.Sasa, nashukuru kwa ufafanuzi, twende kwenye main theme, shangazi hajui màana ya Executive mpaka ashindwe kuelewa tofauti ya government na executive?
Google : branches of government you will see what it is.Shangazi yuko sahihi. Government (serikali) ndio Executive, hamna tofauti. Government au Executive ni mhimili mmojawapo wa dola (State). Government (Serikali) sio dola. Ninavyoelewa mimi, AG kama Mshauri Mkuu wa Serikali hawezi kuwa Mshauri Mkuu wa Bunge au Mahakama. Spika anapomuomba atoe ufafanuzi kuhusu suala la kisheria ni sawa tu kama Spika aliyepita alivyokuwa anamuomba Lissu atoe ufafanuzi kuhusu jambo fulani.
Amandla...
Civics ulifundishwa na 'mwanasheria'? Ulipotoshwa na upotoshaji unaanzia huko shuleni walimu wanawachanganya wanafunzi,Mwanasheria mkuu yupo sahihi, huyo Fatuma karume kapuyanga hapo. Hata shuleni somo la Civics tu inafundishwa matawi ya serikali ni matatu, ambayo ni excutive(serikali kuu inayohusika na utrndaji wa serikali nzima), Judiciary(Mahakama) na Legislature(Bunge).
Haya kwa pamoja huitwa branches of government(matawi ya serikali). Mtoto wa kidato cha tatu tu anaweza kukufafanulia kuhusu hilo, sikutarajia mwanasheria kama yeye angeweza kukuruouka tu.
Excutive ambayo anaisemea ni serikali nzima, anakosea sana. Lile ni tawi la serikali tu linahusika na utendaji mkuu, na si kwamba linabeba serikali nzima.
Sitarajii na watu humu ambao mmemaliza hata vidato vyote, mkakaa na kulibishia suala hili. Wakati huko mlifindishwa serikali ni nini, na matawi ya serikali ni yapi. Hata ukiingia kwenye article zenye kuijadili serikali ya Tanzania. Zinaonesha hilo
Hata ukiangalia shangazi ndiyo mkongwe kwenye kufanya kazi za uwakili kuliko AGAG hajui kuwa serikali ni moja ya mihimili mitatu ya dola , uliona wapi mhimili unakuwa na mihimili mingine? Shangazi ni mtade wa sheria bhana kushinda AG, shida yenu mmekalili mkisikia professor mnafikiri ni kichwa sana kumbe wapi, ma professor wengi tena hawa wetu walivumilia tu kukaa darasani muda mrefu wala sio utade.
Sio kweli napingaKtk wanasheria wasomi wenye uwezo mdogo sana huyu mama ni mmojawapo! Yaani kila akifungua mdomo ni kujianika jinsi alivyo mtupu...
Sio kweliAcha kuongea pumba we kenge. Branches au mihimili ya serikali ni mitatu. Executive,judiciary na legislature. Huyo Bibi kizee anajua nini?
Huyu mama sio mzuri kichwani kivileSio kweli napinga
Umetumia kigezo gani?Huyu mama sio mzuri kichwani kivile
Aibu kubwa sana kwa wanachama wa Chadema kuwa mbumbumbu huki wakijifanya wanataka chama chao kikamate dola,wakati hawajui dola ni nini na serikali nini.Duuuh hatari sana...kumbe na wewe umeona...Elimu ye kijinga hii yaani ulivyotokwa povu uwezi ata kutofautisha Dola na Serikali (State and Government)
spika anaweza asitoke kwenye chama kinachounda serikali vilevileAibu kubwa sana kwa wanachama wa Chadema kuwa mbumbumbu huki wakijifanya wanataka chama chao kikamate dola,wakati hawajui dola ni nini na serikali nini.
Dola inajumuisha mipaka,watu,uhuru wa kujitawala n.k
Serikali ni watu wachache waliochaguliwa ambao ni wawakilishi,hawa ndio huwa wanaunda serikali na serikali huwa na branches tatu(mihimili).
Ndio maan Rais anamteua CJ majaji n.k,Spik nae anatoka kwenye chama kinachounda serikali
Aibu kwa Cdm Bishweko
Acha kabisa ni aibu kweli kweli yaani awajui kua Spika anateuliwa na Rais !!Aibu kubwa sana kwa wanachama wa Chadema kuwa mbumbumbu huki wakijifanya wanataka chama chao kikamate dola,wakati hawajui dola ni nini na serikali nini.
Dola inajumuisha mipaka,watu,uhuru wa kujitawala n.k
Serikali ni watu wachache waliochaguliwa ambao ni wawakilishi,hawa ndio huwa wanaunda serikali na serikali huwa na branches tatu(mihimili).
Ndio maan Rais anamteua CJ majaji ,Spik nae anatoka kwenye chama kinachounda serikali
Aibu kwa Cdm Bishweko
Duuuh hii Elimu bwana...Sio kweli
Serikali ni moja ya mihimili mitatu yaani bunge,serikali na mahakama basi
Na kila mmoja hapo ana Nazi zake bunge kutunga sheria,serikali kutekeleza sheria mahakama kuzitafsiri sheria simple as such.
Acha uhuni spika ateuliwi na rais.Acha kabisa ni aibu kweli kweli yaani awajui kua Spika anateuliwa na Rais !!
Yaani wanashindwa kutofauti State na Nation- State alafu State na Government.
Acha uhuni ,umeandika wewe kule juu....alafu kumbuka Spika anatokana na chama ambacho Rais ndiye mwenyekiti ata kama apigiwi kura za kua Mwenyekiti.Acha uhuni spika ateuliwi na rais.