Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Chama tawala kinapitisha jina la spika alafu anachaguliwa na Bunge. Acha kuchemka ...Acha uhuni ,umeandika wewe kule juu....alafu kumbuka Spika anatokana na chama ambacho Rais ndiye mwenyekiti ata kama apigiwi kura za kua Mwenyekiti.
Kwahiyo unaungana na AG kwamba serikali ina mihimili mitatu?Huyo Fatima hajawahi kujua sheria anatembelea jina la babu
Aiseeee Kweli Mtaji wa CCM ni WAJINGA yaani Serikali ina mihimili mitatu na mmoja wapo ni Serikali? Nimeamini ndani ya CCM wamejaa UTOPOLO na nyie ndio washauri hapo LUMUMBA.Serikali ni mhimili mmoja kati ya 3,ana maanisha nini?
Serikali ina mihimili 3,Executive judiciary and Legislature, kosa liko wapi? Maana ni serikali moja iliyojigawa katika mihimili mitatu.
Chadema imejaa wavuta bangi na wanywa konyagi. Upuuzi kama huu sio wa kushabikia.
Branches of government !Aiseeee Kweli Mtaji wa CCM ni WAJINGA yaani Serikali ina mihimili mitatu na mmoja wapo ni Serikali? Nimeamini ndani ya CCM wamejaa UTOPOLO na nyie ndio washauri hapo LUMUMBA.
Kama hujui kitu kinachoitwa separation of powers bora ukae kimya.Kwahiyo unaungana na AG kwamba serikali ina mihimili mitatu?
Kasome doctrine of separtion of powers uondoe ujinga. Usidhani kupost Jf ndio kujua mambo. Unaweza ukawa unapost ila unafikiri kwa kutumia makalio kama wenzako.Aiseeee Kweli Mtaji wa CCM ni WAJINGA yaani Serikali ina mihimili mitatu na mmoja wapo ni Serikali? Nimeamini ndani ya CCM wamejaa UTOPOLO na nyie ndio washauri hapo LUMUMBA.
Kama hujui bora kukaa kimya unajiaibisha.Kasome doctrine of separtion of powers uondoe ujinga. Usidhani kupost Jf ndio kujua mambo. Unaweza ukawa unapost ila unafikiri kwa kutumia makalio kama wenzako.
Hicho unachokitetea ni sawa na kusema Hawa ana watoto watatu ambao ni Hadija, Janeth na Hawa Mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]Kasome doctrine of separtion of powers uondoe ujinga. Usidhani kupost Jf ndio kujua mambo. Unaweza ukawa unapost ila unafikiri kwa kutumia makalio kama wenzako.
Wacha umbumbu we!Huyo Fatima hajawahi kujua sheria anatembelea jina la babu
Wewe ni mmoja wa wajinga hapo ufipa.Kama hujui bora kukaa kimya unajiaibisha.
Tatizo ni kukosa elimu. Ungekuwa umeelimika usingeumiza kichwa. Maana mlishaambiwa serikali ina mihimili mitatu na mmoja umejisimika zaidi sababu ndio inalipa gharama za mihimili yote.Hicho unachokitetea ni sawa na kusema Hawa ana watoto watatu ambao ni Hadija, Janeth na Hawa Mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Chama chini ya Mwenyekiti ambae ni Rais aaaahChama tawala kinapitisha jina la spika alafu anachaguliwa na Bunge. Acha kuchemka ...
Wewe ambaye umepata elimu unachukulia kitu kama kilivyo/kinavyofanywa na sio kama inavyotakiwa kuwa.Tatizo ni kukosa elimu. Ungekuwa umeelimika usingeumiza kichwa. Maana mlishaambiwa serikali ina mihimili mitatu na mmoja umejisimika zaidi sababu ndio inalipa gharama za mihimili yote.
Huko ufipa mmejazana wavuta bangi na wanywa konyagi.
Kwenye books of accounts za mzazi wako Ada aliyotumia kukusomeshea inabidi aiweke kwenye LossMwanasheria mkuu yupo sahihi, huyo Fatuma karume kapuyanga hapo. Hata shuleni somo la Civics tu inafundishwa matawi ya serikali ni matatu, ambayo ni excutive(serikali kuu inayohusika na utrndaji wa serikali nzima), Judiciary(Mahakama) na Legislature(Bunge).
Haya kwa pamoja huitwa branches of government(matawi ya serikali). Mtoto wa kidato cha tatu tu anaweza kukufafanulia kuhusu hilo, sikutarajia mwanasheria kama yeye angeweza kukuruouka tu.
Excutive ambayo anaisemea ni serikali nzima, anakosea sana. Lile ni tawi la serikali tu linahusika na utendaji mkuu, na si kwamba linabeba serikali nzima.
Sitarajii na watu humu ambao mmemaliza hata vidato vyote, mkakaa na kulibishia suala hili. Wakati huko mlifindishwa serikali ni nini, na matawi ya serikali ni yapi. Hata ukiingia kwenye article zenye kuijadili serikali ya Tanzania. Zinaonesha hilo
Mkuu shabani Robert.Karume mkuu Dom no.1Kijana ulikuwa una stay kijiji gani pale uMzumbeni,
Shebi Robby
Mkwawa
Karume au Mirambo kwa Njawa ?
Acha kupotosha watu.Chama chini ya Mwenyekiti ambae ni Rais aaaah
Alafu Mwenyekiti ambae ni Rais anamwambia Spika awashughurikie huko mdani aaah....SPIKA ANATEULIWA NA RAIS AMBAE NI MWENYEKITI
Tusidanganyane; Waikili yeyote anaweza kuwa AG haijalishi kabobea kwenye nini.There you are! Kumbe wampata..Kilangi ni gwiji kwenye International Law lakini hna credentials za kuwa AG. Source kutoka kwa insider: yeye mwenyewe alishangazwa kwa kuteuliwa kuwa AG. Hii nchi ina matatizo sana!!!
Kwa maana ya uwakilishi wa kisheria nje ya nchi bila kujali inahusu bunge, mahakama ama executive atawakilisha AG.
Nimekosea mkuu?
Naomba nijifunze na isichukuliwe kama hoja.
Thanks
Mkuu acha ukilaza,state ndiyo dola kwa lungha nyingine na ndo nchi au jamhuri.State/dola/nchi/jamhuri ya Tanzania ndo yenye mihimili mitatu kwa mujibu wa katiba ya nchi hii ya mwaka 1977 ambayo ni serikali,mahakama na Bunge.Kama hadi hapa hujaelewa naomba umtafute Oni sigara akufundishe kiswahiliWewe umesema dola ina mihimli mitatu. So state inaweza kuwa na branches?