Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Ramark

Ukisoma Kanuni za Bunge, utakuta mtu anaitwa Chief Parliamentary Legal Counsel, huyu ndo mshauri wa bunge kwenye maswala ya kisheria na sio Attorney General.

Kuhusu Tume ya Utumishi wa mahakama, ile sio chombo cha ushauri but ni disciplinary body ya mahakama.
 
Ni shida watu wengi humu wanachanganya on what is an ‘executive government’.

Executive maana yake ni raisi, baraza la mawaziri, makatibu wakuu na viongozi wa idara za serikali. In short executive government ni senior decision makers only ambao maamuzi yao yanawagusa wengi.

Local government is not part of the executive kama ilivyo mahakama na bunge.
 
Powa sana.... umenielimisha anyway
 
Hivi unataka kuniambia legislature maanake bunge!? Na parliament nini? au walikosea kusema legislature badala yake wangeandika parliament?
Watanzania tujifunze hiko ni kiingereza
😅😅😅😅😆😆😆😆
 
Mkuu Soma post zako za nyuma Kisha linganisha na hii,I hope akili zinaanza kukurudia ndo maana unaanza kuingiza siasa zako uchwara kwenye huu uzi
 
Acha uhuni ,umeandika wewe kule juu....alafu kumbuka Spika anatokana na chama ambacho Rais ndiye mwenyekiti ata kama apigiwi kura za kua Mwenyekiti.
Usikute wewe ni mkuu wa wilaya eti
 
Ndio Mzumbe mlifundishwa hivyo?
 
Mkuu Soma post zako za nyuma Kisha linganisha na hii,I hope akili zinaanza kukurudia ndo maana unaanza kuingiza siasa zako uchwara kwenye huu uzi
State vs government. Hicho ndio hujui ndio maana bado ni mbumbumbu.
Kuna kitu kinaitwa State's government hiki ndio huwa kina mihimili mitatu. Nafikiri ulipoteza muda wako bure pale Mzumbe.
 
Kasome doctrine of separtion of powers uondoe ujinga. Usidhani kupost Jf ndio kujua mambo. Unaweza ukawa unapost ila unafikiri kwa kutumia makalio kama wenzako.
Sisiemu mmejaa wajinga na ndio mtaji wa watu kama nyinyi msiojua A wala B ,Yaani kabisa unasema serikali ina mihimili mitatu? UTOPOLO MTUPU NYIE.
 
Nadhani unatakiwa kutofautisha kati ya dola na serikali ndio urudi kwenye mjadala
 
K
Kwahiyo Serikali ni moja ya Tawi la Serikali au Serikali ni moja ya mihimili? Unajua tofauti ya Dola na Serikali? Unajua kwamba Serikali inachange kila baada ya Uchaguzi?
Kwani bunge halibadiliki baada ya uchaguzi? Kwani jaji mkuu hawezi kubadilishwa baada ya uchaguzi? Au jaji mkuu hawezi kubadilishwa na Rais?
 
Unawaita watu mbumbumbu wakati maelezo yako yanaonesha moja kwa moja hujui hata unachoongea!!

Eti Spika anatoka chama kinachounda serikali!! Kwa mujibu wa katiba ipi, na ya mwaka upi?! Kila anayeijua katiba yetu pia anafahamu Spika anaweza kuwa mtu yeyote hata asiye mwanachama wa chama cha siasa!

Na unaposema dola inajumuisha mipaka, watu, uhuru wa kujitawala n.k, na kisha unasema serikali ni watu wachache, hapo unasahau hao watu wachache is just a subset ya watu ambao ni sehemu ya dola!

Kwa maana nyingine, serikali nayo ni subset ya dola na sio dola!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…