LOSEJMASAI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 332
- 856
RamarkBado
Kwa sasa kutokana na sheria ya juzi pia na mwanya wa kikatiba yeye ni mshauri wa mihimili yote
AG ni mshauri wa serikali
AG ni mbunge na mshauri wa bunge kwenye masuala ya utungaji na kufuata sheria husika bungeni
AG ni mshauri wa mahakama kutokana na tume ya utumishi wa Umma ambaye yeye ni mjumbe
Ni mshauri wa mihimili mitatu katika mashauri ya wakuu wa vyombo hivyo
Fatuma anasema moja katika 3 yaani nguvu hizo haziko sawa kwa kuwa 1 ndiye anazaa tatu as if hakuna watu! Rais licha ya kuwa kiongozi wa nchi hapaswi kuingilia mifumo mingine kiutendaji isipokuwa kwenye checks and balance
Msingi wa mhimili na watu hivyo ndiyo maana uchaguliwa kwa kuwa mahakama ni ya kudumu na uhitaji wa watendaji inaundwa na principle za utendaji na si mawazo ya watu isipokuwa mkuu ambaye anachaguliwa na rais aliyechaguliwa na watu kisha anapaswa kuidhinishwa na bunge ambao ndiyo watu kwa mifumo ya marekani na kenya lkn ilipaswa CJ achaguliwe na bunge ambao ni wawakilishi wa watu tena kwa kura ya siri baada ya kuomba nafasi hiyo kwa utaratibu uliowekwa au watendaji wote wa mahakama ndiyo wapige kura kumchagua kiongozi wao mkuu kama lilivyo bunge hata kama si mwajiriwa isipokuwa awe na cheti cha sheria au leseni ya uanasheria
Tunaendelea
Ukisoma Kanuni za Bunge, utakuta mtu anaitwa Chief Parliamentary Legal Counsel, huyu ndo mshauri wa bunge kwenye maswala ya kisheria na sio Attorney General.
Kuhusu Tume ya Utumishi wa mahakama, ile sio chombo cha ushauri but ni disciplinary body ya mahakama.