Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
It is very funny,wanawake wana mate na wanaume wana mate,hivyo wote wana mimba?Pole kwa kuharibu circle yako...
Mate dalili ya uja uzito[emoji3][emoji3]
Maeneo ya waluguru kujidai hayo.Mkuu shabani Robert.Karume mkuu Dom no.1
Government has three branches, which are Legislature, Executive and Judiciary.Nadhani unatakiwa kutofautisha kati ya dola na serikali ndio urudi kwenye mjadala
Bahati Mbaya babu yake hakuwepo wala kushiriki kwenye mapinduziRevolutionary DNA ipo ndani ya blood yake kutoka kwa babu yake...
Huyu ananipaga sana matumaini kwamba ipo siku tutapata really free country level za uhuru wa United States.
Yeye na Maria,incredible ladies!
Wakati wa mapinduzi babu yake alikuwa wapi ?Bahati Mbaya babu yake hakuwepo wala kushiriki kwenye mapinduzi
Shobiksi amejificha akisikiliza redio jinsi mganda akijisifia na kutukana waarabuWakati wa mapinduzi babu yake alikuwa wapi ?
Government-serikali ... executive- baraza la mawaziriGovernment has three branches, which are Legislature, Executive and Judiciary.
My question is what are the swahili words for the Government and executive?
Unataka ukakobolewe naye?Fatma hivi ana mume yule?
Halafu cha ajabu sana,wengi ya "misukule" ya chama chakavu ni watoto wa "single mothers" ,tena yale mashangingi ya chama yajulikanayo kama "majamvi" au "viburudisho". Kuna shangingi moja la Nkuhungu - Dom huwa nalizibua mtaro,ni kindikindaki wa CCM,aliniambia mwanaye kamuunganisha na "wakubwa" wa CCM - White House,ili apate kuonwa,na huyo kijana si riziki na ni kiongozi wa chama chuoni. Ndio hao wakina chagu wa malunde , Bia yetu , Kawe Alumni , Magonjwa Mtambuka , Crimea , jingalao & others.Hivi kuolewa mnaona ni national cake kwamba mtu akiikosa basi maisha yake yameharibika
Katiba ya CCM inaruhusu na kutoa demokrasia ya kuchagua na kuchaguliwa,tatizo lenu ni nini kuzuia wengine!?Mmejaza malailoni kichwani. Katiba inaruhusu mtu anaejua kusoma na kuandika awe mbunge. Tatizo lenu nini?
It is very funny,wanawake wana mate na wanaume wana mate,hivyo wote wana mimba?
Yaani anything associated na Magufuli name ni the lowest of the lowest aisee!
Discipline body ndiyo inaajiri hivyo uhai wa mahakama upo paleRamark
Ukisoma Kanuni za Bunge, utakuta mtu anaitwa Chief Parliamentary Legal Counsel, huyu ndo mshauri wa bunge kwenye maswala ya kisheria na sio Attorney General.
Kuhusu Tume ya Utumishi wa mahakama, ile sio chombo cha ushauri but ni disciplinary body ya mahakama.
unapo zungumzia dola ni tofauti na unapozunguzia serikali. state vs government tofauti kabisaDola na serikali ndio nini? Alafu unasema wewe unamponda Ag? Chadema ni halali ife.
Chair wetu alivuta bangi akavunja mlango,akapita dirishani then akafukuzwa shule..Haiwezekani kuiga Chama cha wavuta bangi na wanaokunywa konyagi.
Judiciary ipo chini ya waziri wa sheria na katiba,Legislature chini ya ofiso ya waziri mkuu kwa nini? Chadema imajaa mijitu ambayo akili zimeganda.Sisi ndiyo wenye akili ndiyo maana tunawaongoza
Kumbe Chief Justice sio tena kiongozi wa Mhimili wa Mahakama ila Waziri wa Sheria!aaaahhJudiciary ipo chini ya waziri wa sheria na katiba,Legislature chini ya ofiso ya waziri mkuu kwa nini? Chadema imajaa mijitu ambayo akili zimeganda.
Nani kasema au Konyagi inafanya kazi?Kumbe Chief Justice sio tena kiongozi wa Mhimili wa Mahakama ila Waziri wa Sheria!aaaahh
Jaribu kuwa na uwezo wa kupambanua mambo.Kumbe Chief Justice sio tena kiongozi wa Mhimili wa Mahakama ila Waziri wa Sheria!aaaahh