Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Pole kwa kuharibu circle yako...

Mate dalili ya uja uzito[emoji3][emoji3]
It is very funny,wanawake wana mate na wanaume wana mate,hivyo wote wana mimba?

Yaani anything associated na Magufuli name ni the lowest of the lowest aisee!
 
Nadhani unatakiwa kutofautisha kati ya dola na serikali ndio urudi kwenye mjadala
Government has three branches, which are Legislature, Executive and Judiciary.

My question is what are the swahili words for the Government and executive?
 
Revolutionary DNA ipo ndani ya blood yake kutoka kwa babu yake...

Huyu ananipaga sana matumaini kwamba ipo siku tutapata really free country level za uhuru wa United States.

Yeye na Maria,incredible ladies!
Bahati Mbaya babu yake hakuwepo wala kushiriki kwenye mapinduzi
 
JAMHURI ya MUUNGANO wa Tanzania 🇹🇿 ina mihimili mitatu: SERIKALI , BUNGE na MAHAKAMA au Serikali ya TANZANIA ina mihimili mitatu: BARAZA LA MAWAZIRI , BUNGE na Mahakama .... Kipi sahihi sasa hapa au vyote si sahihi
 
Government has three branches, which are Legislature, Executive and Judiciary.

My question is what are the swahili words for the Government and executive?
Government-serikali ... executive- baraza la mawaziri
 
Hivi kuolewa mnaona ni national cake kwamba mtu akiikosa basi maisha yake yameharibika
Halafu cha ajabu sana,wengi ya "misukule" ya chama chakavu ni watoto wa "single mothers" ,tena yale mashangingi ya chama yajulikanayo kama "majamvi" au "viburudisho". Kuna shangingi moja la Nkuhungu - Dom huwa nalizibua mtaro,ni kindikindaki wa CCM,aliniambia mwanaye kamuunganisha na "wakubwa" wa CCM - White House,ili apate kuonwa,na huyo kijana si riziki na ni kiongozi wa chama chuoni. Ndio hao wakina chagu wa malunde , Bia yetu , Kawe Alumni , Magonjwa Mtambuka , Crimea , jingalao & others.
 
Kapunguze stress....
It is very funny,wanawake wana mate na wanaume wana mate,hivyo wote wana mimba?

Yaani anything associated na Magufuli name ni the lowest of the lowest aisee!
giphy.gif
 
Uwepo wa AG ni upi bungeni?

Sikatai kwamba bunge halina wanasheria
Ramark

Ukisoma Kanuni za Bunge, utakuta mtu anaitwa Chief Parliamentary Legal Counsel, huyu ndo mshauri wa bunge kwenye maswala ya kisheria na sio Attorney General.

Kuhusu Tume ya Utumishi wa mahakama, ile sio chombo cha ushauri but ni disciplinary body ya mahakama.
Discipline body ndiyo inaajiri hivyo uhai wa mahakama upo pale

Hiyo tume si huru kwani imeundwa na urais sehemu kubwa

Tuendelew
 
Judiciary ipo chini ya waziri wa sheria na katiba,Legislature chini ya ofiso ya waziri mkuu kwa nini? Chadema imajaa mijitu ambayo akili zimeganda.
Kumbe Chief Justice sio tena kiongozi wa Mhimili wa Mahakama ila Waziri wa Sheria!aaaahh
 
Back
Top Bottom