Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Huyu alikuwa Prof. St Augustine😅😅😅
 
MAccm ni mataahira yote!
 
Wakati mwingine kuficha ujing wako kwa kunyamaza ni vizuri.
 
Huyu mama mkorofi na muongeaji aisee Jana nimekutana naye jengo la Alfa house mkabala na jengo la makao makuu ya vodacom.hapana huyu mama mtata sana.mpaka nikawauliza wenzangu huyu mama kaolewa maana anaongea kama Kasuku aisee
Revolutionary DNA ipo ndani ya blood yake kutoka kwa babu yake...

Huyu ananipaga sana matumaini kwamba ipo siku tutapata really free country level za uhuru wa United States.

Yeye na Maria,incredible ladies!
 
Yaani wewe na "Usukuma" wako unajua zaidi ya "a learned sister"!!?
Huko bungeni "Wasukuma" kweli mmejaa,ndio maana kutwa ni mipasho na umbeya kama wadada wa Buguruni Malapa.
 
Ukishakuwa CcM shurti ujichetue kidogo...ujifanyr kama hamnazo.
 
Revolutionary DNA ipo ndani ya blood yake kutoka kwa babu yake...

Huyu ananipaga sana matumaini kwamba ipo siku tutapata really free country level za uhuru wa United States.

Yeye na Maria,incredible ladies!
Usimwamini mwafrika au mwafrika mpigania haki.
Kenyatta alipigania uhuru wa kenya, walivyopata akajipa robo ya ardhi ya kenya
Mugabe alipigania uhuru wa Zimbabwe baadae akataka familia yake ndio itawale daima
Akina kagame,museveni n.k waliingia madarakani wakiwahadaa watu kwamba wanawapigania kumbe wanapigania matumbo yao na familia zao
 
Yaani wewe na "Usukuma" wako unajua zaidi ya "a learned sister"!!?
Huko bungeni "Wasukuma" kweli mmejaa,ndio maana kutwa ni mipasho na umbeya kama wadada wa Buguruni Malapa.
Nimeuliza ili mnaojua mtueleweshe. Kwani huyo mama peke yake ndio anaejua sheria Tanzania nzima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…