Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

1/Leo Adelardus katoa ushahidi dhidi yangu akisema yeye ni mshauri wa Serikali chini ya Ibara 59(3) ya Katiba na Serikali Ina mihimili 3, EXECUTIVE, LEGISLATIVE na JUDICIARY! Mungu wangu! Kwa kweli siwezi kupoteza muda wangu na mtu asiyeelewa KATIBA halafu ni MWANASHERIA MKUU! https://t.co/NTobVxfrc7View attachment 1486607

2/ Kwa kusema SERIKALI Ina Mihimili 3, Executive, Judiciary na Legislative Ina maana Adelardus haielewi KATIBA yetu kabisa. Basi hata ibara ya 4 hajaisoma? Serikali ni MIHIMILI 1 kati ya 3. Siwezi kupoteza muda kumsikiliza AG asiyeielewa KATIBA yetu! https://t.co/wQuAbijdoyView attachment 1486611
Huyu alikuwa Prof. St Augustine😅😅😅
 
MAccm ni mataahira yote!
 
Wakati mwingine kuficha ujing wako kwa kunyamaza ni vizuri.
Serikali ni mhimili mmoja kati ya 3,ana maanisha nini?
Serikali ina mihimili 3,Executive judiciary and Legislature, kosa liko wapi? Maana ni serikali moja iliyojigawa katika mihimili mitatu.
Chadema imejaa wavuta bangi na wanywa konyagi. Upuuzi kama huu sio wa kushabikia.
 
Huyu mama mkorofi na muongeaji aisee Jana nimekutana naye jengo la Alfa house mkabala na jengo la makao makuu ya vodacom.hapana huyu mama mtata sana.mpaka nikawauliza wenzangu huyu mama kaolewa maana anaongea kama Kasuku aisee
Revolutionary DNA ipo ndani ya blood yake kutoka kwa babu yake...

Huyu ananipaga sana matumaini kwamba ipo siku tutapata really free country level za uhuru wa United States.

Yeye na Maria,incredible ladies!
 
Serikali ni mhimili mmoja kati ya 3,ana maanisha nini?
Serikali ina mihimili 3,Executive judiciary and Legislature, kosa liko wapi? Maana ni serikali moja iliyojigawa katika mihimili mitatu.
Chadema imejaa wavuta bangi na wanywa konyagi. Upuuzi kama huu sio wa kushabikia.
Yaani wewe na "Usukuma" wako unajua zaidi ya "a learned sister"!!?
Huko bungeni "Wasukuma" kweli mmejaa,ndio maana kutwa ni mipasho na umbeya kama wadada wa Buguruni Malapa.
 
Kulinganisha uwezo wa kuelewa sheria wa Fatima na Mwanasheria Mkuu wa serikali ni sawa na kulinganisha uwezo wa mwalimu wa sule ya msingi na professor wa chuo kikuu.

Kwa nini mara nyingine hamtaki kuona ukweli mnapumbazwa na ushabiki wa kisiasa? Yaani mmekuwa wajinga kulingo wajinga wanavyoeleweka kwa ajili tu ya siasa
Ukishakuwa CcM shurti ujichetue kidogo...ujifanyr kama hamnazo.
 
Revolutionary DNA ipo ndani ya blood yake kutoka kwa babu yake...

Huyu ananipaga sana matumaini kwamba ipo siku tutapata really free country level za uhuru wa United States.

Yeye na Maria,incredible ladies!
Usimwamini mwafrika au mwafrika mpigania haki.
Kenyatta alipigania uhuru wa kenya, walivyopata akajipa robo ya ardhi ya kenya
Mugabe alipigania uhuru wa Zimbabwe baadae akataka familia yake ndio itawale daima
Akina kagame,museveni n.k waliingia madarakani wakiwahadaa watu kwamba wanawapigania kumbe wanapigania matumbo yao na familia zao
 
Yaani wewe na "Usukuma" wako unajua zaidi ya "a learned sister"!!?
Huko bungeni "Wasukuma" kweli mmejaa,ndio maana kutwa ni mipasho na umbeya kama wadada wa Buguruni Malapa.
Nimeuliza ili mnaojua mtueleweshe. Kwani huyo mama peke yake ndio anaejua sheria Tanzania nzima?
 
Back
Top Bottom