Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Hahaaaa hujui kuwa kwenye chama chenu ndo kuna vilaza? Ndo maana huwez kuta bungeni Mbunge wa upinzani aliyeishia standard seven all are educated ,,,, Tumeshuhudia kila aliyetoka chadema ameingia ccm na kupewa either uwaziri or ukuu wa wilaya directly huku nyie sisiem mkikaa benchi kisa ELIMU yenu
Any way, uwezo wako ndio upo hapo. Ila ukikomaa utakuja kujua.
 
1/Leo Adelardus katoa ushahidi dhidi yangu akisema yeye ni mshauri wa Serikali chini ya Ibara 59(3) ya Katiba na Serikali Ina mihimili 3, EXECUTIVE, LEGISLATIVE na JUDICIARY! Mungu wangu! Kwa kweli siwezi kupoteza muda wangu na mtu asiyeelewa KATIBA halafu ni MWANASHERIA MKUU! https://t.co/NTobVxfrc7

View attachment 1486607

2/ Kwa kusema SERIKALI Ina Mihimili 3, Executive, Judiciary na Legislative Ina maana Adelardus haielewi KATIBA yetu kabisa. Basi hata ibara ya 4 hajaisoma? Serikali ni MIHIMILI 1 kati ya 3. Siwezi kupoteza muda kumsikiliza AG asiyeielewa KATIBA yetu! https://t.co/wQuAbijdoyView attachment 1486611
Mwambie huyo shangazi wako akahangaike kutoa upupu wake huko kesi inaposikilizwa siyo huku kwenye mitandao ya kijamii haitamsaidia!
 
Hahaaaa hujui kuwa kwenye chama chenu ndo kuna vilaza? Ndo maana huwez kuta bungeni Mbunge wa upinzani aliyeishia standard seven all are educated ,,,, Tumeshuhudia kila aliyetoka chadema ameingia ccm na kupewa either uwaziri or ukuu wa wilaya directly huku nyie sisiem mkikaa benchi kisa ELIMU yenu
Mkuu, umenifurahisha Sana hapa, lakini unatumia vigezo gani ktk hili,

Mf, tuanze na nafasi za ukatibu tu Vyama, unaona kilaza ni wa Chama gani

Njoo Kwa wenye viti Vyama, wewe utasema Nani kilaza,

Tuanzie hapo kwanza
 
Serikali ni mhimili mmoja kati ya 3,ana maanisha nini?
Serikali ina mihimili 3,Executive judiciary and Legislature, kosa liko wapi? Maana ni serikali moja iliyojigawa katika mihimili mitatu.
Chadema imejaa wavuta bangi na wanywa konyagi. Upuuzi kama huu sio wa kushabikia.

Somo la Uraia sijui walishalifuta? sasa hapa mkuu umeandika nini.
 
Hahaaaa hujui kuwa kwenye chama chenu ndo kuna vilaza? Ndo maana huwez kuta bungeni Mbunge wa upinzani aliyeishia standard seven all are educated ,,,, Tumeshuhudia kila aliyetoka chadema ameingia ccm na kupewa either uwaziri or ukuu wa wilaya directly huku nyie sisiem mkikaa benchi kisa ELIMU yenu
Yaani uelewa wako ni mdogo sana! Inasikitisha ndiyo maana mnaongozwa na mtu aliyefeli kidato cha sita mzee wa Faru John!
 
Mwana sheria aliyekuwa anajua vizuri sheria na katiba ni chenge sema mwizi, ila masaju na huyu wa sasa kiragi sijawahi ona uana sheria wao, vitu vingi wana kwama kwama sababu kubwa hawajahi kuexercise law mahali popote kama kina lissu / fatuma karume tofauti na Kufundisha theory miaka yote.
 
Yaani unamlinganisha AG na Lissu na Fatuma Karume kweli? Are u serious??
 
Yaani uelewa wako ni mdogo sana! Inasikitisha ndiyo maana mnaongozwa na mtu aliyefeli kidato cha sita mzee wa Faru John!
Sijui na we upoje hata kufikiri tu unashindwa kama kiongozi wa chadema alifeli form six Aligombeaje urais wa tz 2005? Wakat katiba inasema ili uwe rais lazima at least uwe na degree? Ndo maana mtaendelea kukaa bench akija tu mpinzani hata kama alipokuwa upinzani alikuwa hana hata cheo kwenu akiingia tu mkuu wa wilaya au mkoa maana their educated
 
Government ina 3 pillars...

Executive
Legislature
Judiciary
Basi tumalize ubishi Fatuma ndiye mtu anayejua sheria kuliko wote Tanzania na kuanzia leo yeye ndiye mwanasheria mkuu, wakili mkuu kuliko wote na waziri wa sheria na mazaga zaga yote ya sheria TZ. John Kennedy alipotawazwa kuwa rais wa USA alimchagua mdogo wake Robert kuwa mwanasheria mkuu wa USA. Waandishi habari walimuuliza kulikoni yeye akawajibu kwamba Robert ni mwanasheria ambaye anamfahamu kwa hiyo anafaa kwenye hiyo nafasi mradi anazo sifa sio lazima awe mbobezi wa sheria kuliko wote USA. Tafakari
 
Serikali ni mhimili mmoja kati ya 3,ana maanisha nini?
Serikali ina mihimili 3,Executive judiciary and Legislature, kosa liko wapi? Maana ni serikali moja iliyojigawa katika mihimili mitatu.
Chadema imejaa wavuta bangi na wanywa konyagi. Upuuzi kama huu sio wa kushabikia.
Kwa hiyo hapa umefafanua tayari? Kama hujui si umtafute hata shemejio anayesoma form 2 akueleze mihimili mitatu inaunda nini kuliko kujiaibisha?
 
Huyu mama mkorofi na muongeaji aisee Jana nimekutana naye jengo la Alfa house mkabala na jengo la makao makuu ya vodacom.hapana huyu mama mtata sana.mpaka nikawauliza wenzangu huyu mama kaolewa maana anaongea kama Kasuku aisee
Hivi kuolewa mnaona ni national cake kwamba mtu akiikosa basi maisha yake yameharibika
 
Back
Top Bottom