Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Any way, uwezo wako ndio upo hapo. Ila ukikomaa utakuja kujua.Hahaaaa hujui kuwa kwenye chama chenu ndo kuna vilaza? Ndo maana huwez kuta bungeni Mbunge wa upinzani aliyeishia standard seven all are educated ,,,, Tumeshuhudia kila aliyetoka chadema ameingia ccm na kupewa either uwaziri or ukuu wa wilaya directly huku nyie sisiem mkikaa benchi kisa ELIMU yenu
Mwambie huyo shangazi wako akahangaike kutoa upupu wake huko kesi inaposikilizwa siyo huku kwenye mitandao ya kijamii haitamsaidia!1/Leo Adelardus katoa ushahidi dhidi yangu akisema yeye ni mshauri wa Serikali chini ya Ibara 59(3) ya Katiba na Serikali Ina mihimili 3, EXECUTIVE, LEGISLATIVE na JUDICIARY! Mungu wangu! Kwa kweli siwezi kupoteza muda wangu na mtu asiyeelewa KATIBA halafu ni MWANASHERIA MKUU! https://t.co/NTobVxfrc7
View attachment 1486607
2/ Kwa kusema SERIKALI Ina Mihimili 3, Executive, Judiciary na Legislative Ina maana Adelardus haielewi KATIBA yetu kabisa. Basi hata ibara ya 4 hajaisoma? Serikali ni MIHIMILI 1 kati ya 3. Siwezi kupoteza muda kumsikiliza AG asiyeielewa KATIBA yetu! https://t.co/wQuAbijdoyView attachment 1486611
Mkuu, umenifurahisha Sana hapa, lakini unatumia vigezo gani ktk hili,Hahaaaa hujui kuwa kwenye chama chenu ndo kuna vilaza? Ndo maana huwez kuta bungeni Mbunge wa upinzani aliyeishia standard seven all are educated ,,,, Tumeshuhudia kila aliyetoka chadema ameingia ccm na kupewa either uwaziri or ukuu wa wilaya directly huku nyie sisiem mkikaa benchi kisa ELIMU yenu
Serikali ni mhimili mmoja kati ya 3,ana maanisha nini?
Serikali ina mihimili 3,Executive judiciary and Legislature, kosa liko wapi? Maana ni serikali moja iliyojigawa katika mihimili mitatu.
Chadema imejaa wavuta bangi na wanywa konyagi. Upuuzi kama huu sio wa kushabikia.
We umeona nini?Somo la Uraia sijui walishalifuta? sasa hapa mkuu umeandika nini.
Amefia wap huyo jamaa anakera had I kwenye vitu vya msingi anaingiza uNisalimie Bia yetu naona mmeiweka mapumzikoni ID yenu pendwa
Yaani uelewa wako ni mdogo sana! Inasikitisha ndiyo maana mnaongozwa na mtu aliyefeli kidato cha sita mzee wa Faru John!Hahaaaa hujui kuwa kwenye chama chenu ndo kuna vilaza? Ndo maana huwez kuta bungeni Mbunge wa upinzani aliyeishia standard seven all are educated ,,,, Tumeshuhudia kila aliyetoka chadema ameingia ccm na kupewa either uwaziri or ukuu wa wilaya directly huku nyie sisiem mkikaa benchi kisa ELIMU yenu
We umeona nini?
Ok. Basi kavute bangi ushushie na konyagi.Malunde malunde
Yaani unamlinganisha AG na Lissu na Fatuma Karume kweli? Are u serious??Mwana sheria aliyekuwa anajua vizuri sheria na katiba ni chenge sema mwizi, ila masaju na huyu wa sasa kiragi sijawahi ona uana sheria wao, vitu vingi wana kwama kwama sababu kubwa hawajahi kuexercise law mahali popote kama kina lissu / fatuma karume tofauti na Kufundisha theory miaka yote.
Sijui na we upoje hata kufikiri tu unashindwa kama kiongozi wa chadema alifeli form six Aligombeaje urais wa tz 2005? Wakat katiba inasema ili uwe rais lazima at least uwe na degree? Ndo maana mtaendelea kukaa bench akija tu mpinzani hata kama alipokuwa upinzani alikuwa hana hata cheo kwenu akiingia tu mkuu wa wilaya au mkoa maana their educatedYaani uelewa wako ni mdogo sana! Inasikitisha ndiyo maana mnaongozwa na mtu aliyefeli kidato cha sita mzee wa Faru John!
Mh one hata aibu basiUlichoandika hapa ni kielelezo tosha cha ujinga wako, nini maana ya Dola na serikali?
Yaani unamlinganisha AG na Lissu na Fatuma Karume kweli? Are u serious??
Kama hujui sio wajibu wangu kukufundisha.Ulichoandika hapa ni kielelezo tosha cha ujinga wako, nini maana ya Dola na serikali?
Basi tumalize ubishi Fatuma ndiye mtu anayejua sheria kuliko wote Tanzania na kuanzia leo yeye ndiye mwanasheria mkuu, wakili mkuu kuliko wote na waziri wa sheria na mazaga zaga yote ya sheria TZ. John Kennedy alipotawazwa kuwa rais wa USA alimchagua mdogo wake Robert kuwa mwanasheria mkuu wa USA. Waandishi habari walimuuliza kulikoni yeye akawajibu kwamba Robert ni mwanasheria ambaye anamfahamu kwa hiyo anafaa kwenye hiyo nafasi mradi anazo sifa sio lazima awe mbobezi wa sheria kuliko wote USA. TafakariGovernment ina 3 pillars...
Executive
Legislature
Judiciary
Kweli kwa akili yakoHuwezi kuwalinganisha hata kidogo maana kina lissu ni highest level
Kwa hiyo hapa umefafanua tayari? Kama hujui si umtafute hata shemejio anayesoma form 2 akueleze mihimili mitatu inaunda nini kuliko kujiaibisha?Serikali ni mhimili mmoja kati ya 3,ana maanisha nini?
Serikali ina mihimili 3,Executive judiciary and Legislature, kosa liko wapi? Maana ni serikali moja iliyojigawa katika mihimili mitatu.
Chadema imejaa wavuta bangi na wanywa konyagi. Upuuzi kama huu sio wa kushabikia.
Sio kweli, wanajitoa tu ufahamu ili kumfurahisha MagufuliCCM karibu wote wanapiga bange
Hivi kuolewa mnaona ni national cake kwamba mtu akiikosa basi maisha yake yameharibikaHuyu mama mkorofi na muongeaji aisee Jana nimekutana naye jengo la Alfa house mkabala na jengo la makao makuu ya vodacom.hapana huyu mama mtata sana.mpaka nikawauliza wenzangu huyu mama kaolewa maana anaongea kama Kasuku aisee