Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Kweli kabisa mnaongoza wanywa konyagiSisi ndiyo wenye akili ndiyo maana tunawaongoza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa mnaongoza wanywa konyagiSisi ndiyo wenye akili ndiyo maana tunawaongoza
Kwa hiyo unajua serikali ina mihimili mitatu?Nimezungumzia mihimili wa Serikali vs Nchi!!
Serikali haina mihimili mitatu na haitakuja kutokea maana serikali nayo ni moja ya mihimili ya nchi.Kwa hiyo unajua serikali ina mihimili mitatu?
Jaji Mkuu kama Majaji wengine hawezi kubadilishwa na Rais kirahisi. Ndio maana huwezi kusikia rais anamtumbua Jaji. Ili Jaji aondolewe, linatakiwa kukaa jopo la Majaji wenzake kutoka nchi za jumuia ya Madola na hao wakiridhia ndio anaondoka. Tenure yao inalindwa kikatiba kamailivyoya CAG. Hii ni kulinda uhuru wao wa kuhakikisha haki inatendeka bila kuogopa Mamlaka iliyomteua.K
Kwani bunge halibadiliki baada ya uchaguzi? Kwani jaji mkuu hawezi kubadilishwa baada ya uchaguzi? Au jaji mkuu hawezi kubadilishwa na Rais?
Kasome doctrine Sop uondowe ujinga.Serikali haina mihimili mitatu na haitakuja kutokea maana serikali nayo ni moja ya mihimili ya nchi.
Endeleeni ku support Ujinga huko ndani ya Chama Chenu!!Kasome doctrine Sop uondowe ujinga.
Sasa kama unajua kabisa nchi inakuwa na eneo,watu,na mamlaka ya nchi n.kEndeleeni ku support Ujinga huko ndani ya Chama Chenu!!
Kasome Civics tena maana haujui kutofautisha Country,State,Nation ,Sovereignty and Government ukielewa hayo hauwezi kuendelea na UTOPOLO.Sasa kama unajua kabisa nchi inakuwa na eneo,watu,na mamlaka ya nchi n.k
Sasa unashindwa kutofautisha vipi mamlaka ya nchi na nchi?
Mamlaka ya nchi yanakuwa na organs tatu,kama una akili timamu unashindwa vipi kujua?
Uliwai muona JPM anakunywa konyagi?Kweli kabisa mnaongoza wanywa konyagi
Kwamba CCM imeshindwa kufuata misingi ya kidemokrasia kama UpinzaniUkweli upi komredi?
Usisahau kunitag mkuuKasome Civics tena maana haujui kutofautisha Country,State,Nation ,Sovereignty and Government ukielewa hayo hauwezi kuendelea na UTOPOLO.
nikiri tu kuwa Shangazi ni Genius na ukiwa na akili chini yake huwezi kumuelewa! watu wenye akili nyingi hupambana kuongea wawafikishe wasioelewa katika uelewa na huwa hawafanikiwi sababu wale wanaowapigania hawana uwezo wa kuelewa!!Huyu mama mkorofi na muongeaji aisee Jana nimekutana naye jengo la Alfa house mkabala na jengo la makao makuu ya vodacom.hapana huyu mama mtata sana.mpaka nikawauliza wenzangu huyu mama kaolewa maana anaongea kama Kasuku aisee
Ubongo wako umejaa malailoni.Kasome Civics tena maana haujui kutofautisha Country,State,Nation ,Sovereignty and Government ukielewa hayo hauwezi kuendelea na UTOPOLO.
Wewe na Mbowe mnakunywa konyagiUliwai muona JPM anakunywa konyagi?
Sawa ila wewe ubongo wako uliula kipindi cha njaa kwa sasa fuvu lako limejaa maji tu!!Ubongo wako umejaa malailoni.
Kama Cdm kuna demokrasia mbona mwenyekiti anatawala chama kwa ubabe. Na hakuna anayeruhusiwa kugombea?Kwamba CCM
Kwamba CCM imeshindwa kufuata misingi ya kidemokrasia kama Upinzani
Kwahiyo ni sahihi tuwaige CHADEMA kweli?Kama Cdm kuna demokrasia mbona mwenyekiti anatawala chama kwa ubabe. Na hakuna anayeruhusiwa kugombea?
Wewe na Magu mlivuta bangi shuleni au?Wewe na Mbowe mnakunywa konyagi
Haiwezekani kuiga Chama cha wavuta bangi na wanaokunywa konyagi.Kwahiyo ni sahihi tuwaige CHADEMA kweli?