Mwanasheria Lunkunku
Member
- Jan 2, 2021
- 27
- 19
- Thread starter
- #41
Naomba ufafanuzi hapa kwa kuwa lengo la kuachana na lugha ya sheria kwa Kiingereza katika tasnia ya sheria ni kwa sababu ni lugha ngumu ambayo Watanzania wengi hawailelewi halafu tunaenda kwa lugha sheria kwa Kiswahili ambayo watu wengi hawaielewi kutokana na kutotumika.