Fatma Karume's opinion on president's power to confer the municipality status of the city was given per incuriam

Naomba ufafanuzi hapa kwa kuwa lengo la kuachana na lugha ya sheria kwa Kiingereza katika tasnia ya sheria ni kwa sababu ni lugha ngumu ambayo Watanzania wengi hawailelewi halafu tunaenda kwa lugha sheria kwa Kiswahili ambayo watu wengi hawaielewi kutokana na kutotumika.
 
Lugha isipotumika huwa ngumu kwa hiyo hilo lisikusumbue ndugu.


Je vipi kuhusu kuwafundisha wanafunzi wa sheria wa chuo kikuu shahada ya sheria kwa lugha ya Kiingereza lakini wanakuja mtaani, maofisini na Mahakamani kufanya kazi kwa Kiswahili.

Je unasemaje kuhusu hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…