GE2025 Fatuma Abdallah Kange achukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Same Magharibi

GE2025 Fatuma Abdallah Kange achukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Same Magharibi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fatuma Abdallah Kange, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya GS1 Tanzania na Mjumbe wa Baraza la UWT Mkoa wa Dar es Salaam, amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Same Magharibi, mkoani Kilimanjaro.

Amesema dhamira yake kuu ni kutatua changamoto za wananchi katika sekta ya elimu, miundombinu, biashara na masoko ya kimkakati, sambamba na kulifanya jimbo hilo kuwa na uchumi jumuishi.
1751185878484.jpeg
 
Namfahamu huyu Madam aise.

Kweli CCM ina wenyewe.
 
Back
Top Bottom