Fatuma Karume: Mnaelewa mnataka Urais wa TLS ya Serikali lakini inayolipiwa na Mawakili?

Fatuma Karume: Mnaelewa mnataka Urais wa TLS ya Serikali lakini inayolipiwa na Mawakili?

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
Fatuma KArume: Jana kwenye mdahalo wa TLS nimewasikiliza wagombea wa Urais wote na nimewauliza:

*Mnaelewa mnataka URAIS wa TLS ya Serikali lakini inayolipiwa na mawakili?

*TLS haiwezi kutunga regulations bila ya idhni ya AG.

*Hamuoni AG anaingilia “Freedom of Association”?

Sidhani nimeeleweka.
1720955432812.png
 
Huyu nae anakera si alisha wahi kuwa rais wa tls mbona hakulishughulikia hlo, agombee basi huo urais
 
Yeye na lisu si walikuwa wenyeviti wa hiyo tls majuzi tu, tena wakiwa huko huko upinzani, nao waligeuka kuwa mawakili wa serikali?
 
Sio utani,Kuna ukweli ndani yake.
Lakini hatushangai sana kwakuwa wengi wa member wa TLS ni makada wa vyama vya siasa.
Hivyo serikali au chama Cha siasa chochote kile kina nafasi ya kujipenyeza kiurahisi kupitia mwanachama(kada) anayehusika nao.

Njaa,Ujinga na umaskini bado ni alama za utumwa Kwa wasomi walio wengi.
 
si TLS tu CCM kila sehemu yenye watu wengi wanataka kujipenyeza, sasa hivi wanaipigia chepuo Simba iwe mali yao - yajayo yanafurahisha.
 
Back
Top Bottom