KAKUKERA VIPI WAKATI MWENZAKO ANAKUSHINDA MPAKA SHERIA YA KUJITETEA UKIKAMTWAHuyu nae anakera si alisha wahi kuwa rais wa tls mbona hakulishughulikia hlo, agombee basi huo urais
Baada ya kua huko ndio amejua hilo, sasa wewe unakereka nini kuambiwa ukweli.Huyu nae anakera si alisha wahi kuwa rais wa tls mbona hakulishughulikia hlo, agombee basi huo urais
Waambie ukweli Hawa machawa hawaelewi kitu chochote kabisa!fatma karume aka Shangazi
@fatma_karume
·
39m
Jana kwenye mdahalo wa TLS nimewasikiliza wagombea wa Urais wote na nimewauliza:*Mnaelewa mnataka URAIS wa TLS ya Serikali lakini inayolipiwa na mawakili?*TLS haiwezi kutunga regulations bila ya idhni ya AG.*Hamuoni AG anaingilia “Freedom of Association”?Sidhani nimeeleweka.
View attachment 3042144
TLS ni tawi kuu la CCMfatma karume aka Shangazi
@fatma_karume
·
39m
Jana kwenye mdahalo wa TLS nimewasikiliza wagombea wa Urais wote na nimewauliza:*Mnaelewa mnataka URAIS wa TLS ya Serikali lakini inayolipiwa na mawakili?*TLS haiwezi kutunga regulations bila ya idhni ya AG.*Hamuoni AG anaingilia “Freedom of Association”?Sidhani nimeeleweka.
View attachment 3042144
Aibu kubwa snWaambie ukweli Hawa machawa hawaelewi kitu chochote kabisa!
Yanga, Simba, ACT, CHADEMA nk zote serikaliTLS, BAKWATA, KKKT, TAG nk zote Serikali 😂
CDM washaishindwa - kwa sasa wanapigania Mh. Mbowe atoke ili wajaribu kuweka mwenyekiti wao kitumia njia za kimafia.Yanga, Simba, ACT, CHADEMA nk zote serikali