Fatuma Karume: Zanzibar inaidai Tanzania bara 4.6 trillion

Kwa kweli ata sisi tunashindwa kuelewa tunaishi nchi ya namna gani...Tunalipa kodi za TRA lakini pia tunalipa na ZRB

Kwa wabara Mzenji hapendwi

Kwa Wazenji Mwarabu hapendwi

Serikalini asiye CCM hapendwi
 
Wee ngumbaru jifune kusoma kwa ufahamu kwanza kabla hujanikaribia.

Unanipa kazi ya kukufundisha kusoma na mimi sina muda huo.
Kweli Pampers imekujaa, ndio umeandika kitu gani padri?
 
Wee ngumbaru jifune kusoma kwa ufahamu kwanza kabla hujanikaribia.

Unanipa kazi ya kukufundisha kusoma na mimi sina muda huo.
Tulia punda, mambo kama hayakuhusu achana nayo, sio kujitia kiherehere!
 
Fatuma ameolewa kweli huyu mdada?
Nafikiria jinsi me atakavyoishi na mutu km huyu!!
Anaweza kukunyima papuchi kwa vifingu vya sheria na ukatii!! Ole wako utie neno!!!

Hivi anavokosa mme ndo hasira zinampanda kishenzi.
Siku akimpata tu kila mtu atajua!! Yaani atakuwa mpoleeee kwa huu muungano.

Na km yupo kwa sasa mshaurini huyo mumewe aaache urojo! Asirojoke bali apige mashine mpaka iteme juu!
Nakwambia f karume atakuwa mpoleeeeeee! Km sie! Jiwe anaweza asiamini huko ahera.

Amekosa wa kumfinya na hakuna watu wajua finya km wakurya.hii minjemba ikikufinya lzm utulie....

Kimdada hakilali kutwa kucha nakwambia ni ajili ya muungano wetu tuuuuuu! !inahuuu!!
 
Huyo kwenye avatar ni wewe?
 
Zanzibar ni wabaguzi sana.. Na bado
Muda wote aliokuwaga anapiga kelele juu ya magufuli, binafsi nilijua ni ubaguzi tu unaomsumbua, maana kama ni haki, angekwishasema tunayosikia kuwahi kutendwa na Karume.
 
Tulia punda, mambo kama hayakuhusu achana nayo, sio kujitia kiherehere!
Bora mimi punda, wewe guluguja usiye ubongo wala uti wa mgongo.

Umebaki kulialia hapa wakati wanaume wamekuchukulia nchi yako umebaki kuwa stateless person.
 
Kwenye pato la Taifa, Zanzibar inachangia asilimia ngapi?
 
anataka madaraka huyu babake alikuwa hivihivi mpaka alipopewa Urais wa Zanzibar! Ila huyu kamwe hapati ng'o! familia isiyo na shukrani!
 
Bora mimi punda, wewe guluguja usiye ubongo wala uti wa mgongo.

Umebaki kulialia hapa wakati wanaume wamekuchukulia nchi yako umebaki kuwa stateless person.
Vizuri umetambua kuwa wewe ni punda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…