Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Kwa hivyo ndio mkahamasishana ndoa za jinsia Moja makanisani?Rais mwinyi analalamika kuwa ulawiti na usagaji hasa kwa watoto wadogo imekuwa hatari sana Zanzibar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hivyo ndio mkahamasishana ndoa za jinsia Moja makanisani?Rais mwinyi analalamika kuwa ulawiti na usagaji hasa kwa watoto wadogo imekuwa hatari sana Zanzibar
Ana take advantage ya "Uzazibar"Kamaliza kelele za awamu ya tano, sasa kaanzisha kelele mpya kabisaa huyu binti karume
Kanisani mnahaha, si mvae PampersAma wachukue nchi yao, ama wakae kimya.
The ranting online does not help anything.
It just makes them look like weak little bitches.
Tumekusikia, Sasa jibu swaliUnamgahamu aunt muddy wa kinondoni mkwajuni kunamashekhe wanapumzika pale
Hujui kitu wwTanzania ni Muungano wa Nchi mbili Tanzania bara na Zanzibar.
Naomba kujua majina ya hao watu waliokuwa wamepiga magoti hapo.View attachment 1768230
Hivi Nyerere na Karume walivyochanganya ule udongo wa bara na visiwani kwenye kile chungu waliweka agano gani?
Na baada ya kuuchanganya waliupeleka wapi?
Atakayejua kile chungu kilipo na udongo wake na yale maneno anaweza vunja Muungano.... na sasa sababu hauvunjiki tuunde Serikali moja malalamiko yaishe
Ndio mkahamasishana ndoa za jinsia Moja makanisani?Umesoma hoja lakini
Tanganyika na Zanzibar, wewe sijui ulisomea chini ya mti 🌲 upi.Tanzania ni Muungano wa Nchi mbili Tanzania bara na Zanzibar.
Nani anaenda kanisani?Kanisani mnahaha, si mvae Pampers
Na huu ndio ukweli mtake msitakeFatuma Karume amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inaidai Serikali ya Jamhuri ya Muungano kiasi cha pesa cha trilioni 4.6 kutokana na kupokonywa kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo
Fatuma Karume ambaye mara kwa mara hujimwambafai kukulia Ikulu ya Zanzibar na hivyo kuwa anafahamu siri nyingi ameandika kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa Serikali ya Muungano imekuwa na kasumba ya kuipora pesa Zanzibar ambazo zipo Kikatiba na Kisheria juu ya Muungano
My take : Hawa Wazanzibar hawaridhiki kila siku wanaibuka na kero mpya ifike pahali tuunde Serikali moja including Zanzibar iwe kimkoa tu tutumie nguvu tu
USSRView attachment 1768148
Akili ina nguvu kuliko maarifaAkili nyingi huondoa maarifa,Hapa kwenye huu Muungano Nyerere alitumia akili badala ya Maarifa ndio matatizo tunayokumbana nayo hadi Leo.Walipo ungana tu ilitakiwa iwe Serikali moja kwa sasa haitakuja kutokea tena kuwa Serikali 1.
Sasa mnatumia nguvu ya nini kuuwa watu visiwani? Inakuaje mnajitwika mzigo wa mavi? Ushaona hauna faida na wewe, wenyewe wanataka kuwa huru, mnatumia nguvu ya nini kuzuia sisi kujiondoa? Si hampati faida na Zanzibar ama?Sasa si mjiondoe?
Mnashindwa nini?
Mna vilema?
Unanijumuisha mimi na hao waliotumia nguvu?Sasa mnatumia nguvu ya nini kuuwa watu visiwani? Inakuaje mnajitwika mzigo wa mavi? Ushaona hauna faida na wewe, wenyewe wanataka kuwa huru, mnatumia nguvu ya nini kuzuia sisi kujiondoa? Si hampati faida na Zanzibar ama?
Kwanini ulirukia post niliyomjibu mtu mwengine ? Ushoga nimeutoa kwa maaskofu wenu makanisaniHoja ni madai ya trillion wewe ushoga umetoa wapi ,kwa babako?
Padri mbona umekasirika , au Leo Pampers imekujaa?Nani anaenda kanisani?
Unanifananisha na mtu mwingine wewe.
Naona umeibiwa bwana wako sasa unaparamia wanaume za watu.
Mimi situmii mahanithi usinisumbue.
Wacha kujipakazia padri,Unanijumuisha mimi na hao waliotumia nguvu?
Mimi sipo Tanzania miaka zaidi ya 20, sina chama cha siasa na sijaishabikia serikali ya Tanzania kuhusu Zanzibar.
Ukianzisha chama cha Zanzibr kujitenga naweza kukusaidia mchango.
Mtuondolee kelele zenu za kijinga.
Viongozi wa ccm wengi ni washamba sana hili lingekuwa lilishakamilika miaka mingi sanaTunahitaji kuwa na serikali moja kuondoa haya malumbano
Itawezekana kwa maarifa mengineAkili nyingi huondoa maarifa,Hapa kwenye huu Muungano Nyerere alitumia akili badala ya Maarifa ndio matatizo tunayokumbana nayo hadi Leo.Walipo ungana tu ilitakiwa iwe Serikali moja kwa sasa haitakuja kutokea tena kuwa Serikali 1.