Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna msemo unasema Picha ni zaidi ya maneno. Hii ni dhahiri inatoa picha halisi juu ya muungano. Nyerere kabeba vikopo vyote vya mchanga akilazimisha muungano. Ilitakiwa wawili wachanganye mchanga kuashiria hiari ya kuunganisha.View attachment 1768230
Hivi Nyerere na Karume walivyochanganya ule udongo wa bara na visiwani kwenye kile chungu waliweka agano gani?
Na baada ya kuuchanganya waliupeleka wapi?
Atakayejua kile chungu kilipo na udongo wake na yale maneno anaweza vunja Muungano.... na sasa sababu hauvunjiki tuunde Serikali moja malalamiko yaishe
Ni sawa kipindi hicho tulikuwa na mikoa 25 kwahiyo kila mkoa 4% wapewe tu kama walikubarianaKwani wameshalipa umeme wa Tanesco unaoenda huko? Kama vp kila mtu abaki kwake tu....yaani kimkoa tu kipewe asilimia 4%.....??
Ukiendelea kuwabugudhi watawasha vibatali.Deni la TANESCO walishalipa?
Sema hivi Tanzania ni muungano wa Tanzania bara na Tanzania visiwani AU muungano wa Tanganyika na Zanzibar.Tanzania ni Muungano wa Nchi mbili Tanzania bara na Zanzibar.
Nakupa hasara moja kubwa tu siku zanzibar wakipewa nchi yao..
Bandari ya dar itageuka kuwa feeder port hili ni zaidi ya anguko huku bara....
Tanzania ni Muungano wa Nchi mbili Tanzania bara na Zanzibar.
Yote sababu ya CCMHawa sio wenzetu tumewapa madaraka wanatuongoza bado hawaridhiki
Zanzibar population yao haiwez kufika 4mil
Akili Za kikanisaDeni la TANESCO walishalipa?
Hakuna mwenye uwezo huo usidhani mchezoHii ndio dawa maana tumechoka na chokochoko
Isipokuwa wako na mikakati ya kuzailiana kwa sana baada ya muda fulani utashangaa ijapokuwa wanajirisk pia .
Kwenye imani yao huko wanahamasishwa kuzailiana sana!
Waache wakristo kujidai uzungu kuzaa watoto 2 tu.
Wenzao wanahamasishana kufuatua hasa.
Nazani wanaamini baadaye Wakiwa wengi nchi itakuwa na sharia.
Kumbe hapo kwenye picha na Karume naye anachanganya udongo?View attachment 1768230
Hivi Nyerere na Karume walivyochanganya ule udongo wa bara na visiwani kwenye kile chungu waliweka agano gani?
Na baada ya kuuchanganya waliupeleka wapi?
Atakayejua kile chungu kilipo na udongo wake na yale maneno anaweza vunja Muungano.... na sasa sababu hauvunjiki tuunde Serikali moja malalamiko yaishe
Kwani wakristo wanapohamasishana Na ndoa Za jinsia Moja huwa mnataka mzae watoto wangapi?
Kuhamamishana kuzaana kwa mlengo wa kidini kwamba watu wa dini fulani wahamasishwe kuzaliana kwa sana kwa lengo la kufikiri kwamba watakapokuwa wengi waweze kutaka nchi iongozwe kwa mlengo wa itikadi ya dini yao swala hilo ni hila mbaya sana.
Kwanini isiachwe nature ichukue mkondo wake?
Hakuna aliyefanya jitihada ya kufanya Taifa hili liwe na watu wa aina kwa imani na makabila yaliyopo isipokuwa Mungu mwenyewe.
Wakristo wao wako na maisha yao hawana hili wala lile kumbe wenzao wanahamasishana kuzaana ili baada ya miaka fulani dini yao Ndiyo itawale na huenda kulazimisha wasio wa imani hiyo kufanya watakayoyataka.
Ni hila kaka.
Sisi wote ni viumbe wa Mwenyezi Mungu, hakuna aliyejiumba na kujileta Hapa kuwa mtz.
Mtu ukitafakali hayo unaona bora kupendana na kushikamana kama ndugu bila kujali tofauti zetu za kidini, kikabila n.k
Kwanywe sumu kama ni taabu. Au Kama Tumbo lako limeanza kukukoroga kimbilia chooni harakaHii inatuchosha sana wa-bara na wengi wao tumejaliwa kukaa kimya. Nadhani ni vizuri kutafakari kabla ya kuropoka. Huyu dada ni taabu sana
Ndio.Yani unataka tugawane mkopo lakini deni mtuachie tulilipe wenyewe?