Tanganyika na ZanzibarTanzania ni Muungano wa Nchi mbili Tanzania bara na Zanzibar.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanganyika na ZanzibarTanzania ni Muungano wa Nchi mbili Tanzania bara na Zanzibar.
Wakatafute tulikotafuta misaada, dunia huru hii!
Bro huo ndio ukweli,kipindi kile kulikuwa na vita baridi kati ya urusi na nchi za magharibi zikiongozwa na marekani,prof mohamed babu alipeleka vijana 300 cuba kwa ajiri ya mafunzo ya itikadi ya ujamaa na kijeshi,baadae afisa wa cia ukanda wa afrika mashariki Mr Frank Karlus alipenyeza taarifa kwa karume kuwa kuna mipango ya kupinduliwa na vijana wa itikadi ya ukominist waliopelekwa cuba,ushauri wa karlus ni kuwa ni vzr ukaomba kuungana na tanganyika,ndipo mzee akapiga kasia usiku mpk tanganyika kwa nyerere alipofika akamweleza nyerere,nyerere akakubali,akaulizwa karume na nyerere unataka tufanye lini? Karume akasema hata leo mie niko tayari,alikaa tanganyika kwa mda wa siku 3,Huyo CIA ni muongo kama waongo wengine, kwasababu haiwezekani mwenye huitaji anufaike zaidi kuliko asie na huitaji, yaani Nyerere kazika nchi kubwa ya Tanganyika kwasababu ya kanchi kama Zanzibar! !! ukweli unaonekana wala haitajiki CIA kuteleza hizo propaganda zao
KijijiWakati mnaungana, mliungana na mkoa au nchi?
Hapana, ni Tanganyika na ZanzibarTanzania ni Muungano wa Nchi mbili Tanzania bara na Zanzibar.
MNAANZA KUIFANYA KAZI YA MAMA KUWA NGUMUFatuma Karume amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inaidai Serikali ya Jamhuri ya Muungano kiasi cha pesa cha trilioni 4.6 kutokana na kupokonywa kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo
Fatuma Karume ambaye mara kwa mara hujimwambafai kukulia Ikulu ya Zanzibar na hivyo kuwa anafahamu siri nyingi ameandika kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa Serikali ya Muungano imekuwa na kasumba ya kuipora pesa Zanzibar ambazo zipo Kikatiba na Kisheria juu ya Muungano
My take : Hawa Wazanzibar hawaridhiki kila siku wanaibuka na kero mpya ifike pahali tuunde Serikali moja including Zanzibar iwe kimkoa tu tutumie nguvu tu
USSRView attachment 1768148
Nakupa hasara moja kubwa tu siku zanzibar wakipewa nchi yao..Wapeni nchi Yao.
kwanini mnalazimisha?
Sina cha kukusaidia umeamua kuamini uongo wa mchana kweupee, hivi wewe Karume awe na shida ya namna hiyo nchi yake ibaki mpaka leo, halafu yule ambaye hakuwa na shida ndio aizike Tanganyika yake, ilo jambo haliingii akilini kabisaaaBro huo ndio ukweli,kipindi kile kulikuwa na vita baridi kati ya urusi na nchi za magharibi zikiongozwa na marekani,prof mohamed babu alipeleka vijana 300 cuba kwa ajiri ya mafunzo ya itikadi ya ujamaa na kijeshi,baadae afisa wa cia ukanda wa afrika mashariki Mr Frank Karlus alipenyeza taarifa kwa karume kuwa kuna mipango ya kupinduliwa na vijana wa itikadi ya ukominist waliopelekwa cuba,ushauri wa karlus ni kuwa ni vzr ukaomba kuungana na tanganyika,ndipo mzee akapiga kasia usiku mpk tanganyika kwa nyerere alipofika akamweleza nyerere,nyerere akakubali,akaulizwa karume na nyerere unataka tufanye lini? Karume akasema hata leo mie niko tayari,alikaa tanganyika kwa mda wa siku 3,
Kwani Bandari ni moja tu? uoga mwengine wa ovyooo sanaaaaaaa, hamia Mtwara boresha Bandari tena mtwara ina kina kirefu cha asili, sio kulialiaa vitu ambavyo vina solution kibaoNakupa hasara moja kubwa tu siku zanzibar wakipewa nchi yao..
Bandari ya dar itageuka kuwa feeder port hili ni zaidi ya anguko huku bara....
Yani unataka tugawane mkopo lakini deni mtuachie tulilipe wenyewe?
Kwani wameshalipa umeme wa Tanesco unaoenda huko? Kama vp kila mtu abaki kwake tu....yaani kimkoa tu kipewe asilimia 4%.....??
Kama makubaliano yanasema wapewe 4% basi wapewe. Hakuna kuleta longolongo.
Wazanzibar wanaweza kuweka umeme wa Solar na Upepo ukawatosha, TANESCO kupeleka umeme huko ni kulea uchumba wa muungano tu lakini Wazenji wanavyo vyanzo vizuri vya umeme unaowatosha maana ni nchi ndogo
Bora Kijiji itapendeza zaidi
Isingekuwa mambo ya usalama hao Zenji tungewatema tu, kila siku wao kelele tu hizo 4.6 Trilioni anaona rahisi tu kuzitamka. Ameshindwa kuona ni kwa namna gani Zenji inavyonufaika zaidi na huu muungano kuliko Tanganyika kuanzia ardhi, kazi tukiwarudisha wote huko si kisiwa hicho kitazama na haya mabadiliko ya tabia nchi maana maji ya bahari yanazidi kuongezeka tu
Ikiwa hawalazimishi kwanini siku zote hizo hawajaukata? Ikiwa hata jeshi liliwahi tishiwa kukatiwa umeme SMZ wao ni nani?Una hakika wanalazimishwa kutumia umeme wa TANESCO?
TANESCO wakikupatia umeme bila kukukatia licha ya wewe kuwa na deni wamekulazimisha kutumia huo umeme?Ikiwa hawalazimishi kwanini siku zote hizo hawajaukata? Ikiwa hata jeshi liliwahi tishiwa kukatiwa umeme SMZ wao ni nani?
Umeme gani unaotolewa bure, unaijua bei ya umeme Zanzibar wewe?Halafu mkuu waambie Umeme tunawapa sawa na buree...Pamoja na mengine meeengi!