The perfect guy
Member
- Nov 20, 2018
- 45
- 30
Fatuma Karume amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inaidai Serikali ya Jamhuri ya Muungano kiasi cha pesa cha trilioni 4.6 kutokana na kupokonywa kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo
Fatuma Karume ambaye mara kwa mara hujimwambafai kukulia Ikulu ya Zanzibar na hivyo kuwa anafahamu siri nyingi ameandika kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa Serikali ya Muungano imekuwa na kasumba ya kuipora pesa Zanzibar ambazo zipo Kikatiba na Kisheria juu ya Muungano
My take : Hawa Wazanzibar hawaridhiki kila siku wanaibuka na kero mpya ifike pahali tuunde Serikali moja including Zanzibar iwe kimkoa tu tutumie nguvu tu
USSRView attachment 1768148
Fatuma Karume amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inaidai Serikali ya Jamhuri ya Muungano kiasi cha pesa cha trilioni 4.6 kutokana na kupokonywa kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo
Fatuma Karume ambaye mara kwa mara hujimwambafai kukulia Ikulu ya Zanzibar na hivyo kuwa anafahamu siri nyingi ameandika kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa Serikali ya Muungano imekuwa na kasumba ya kuipora pesa Zanzibar ambazo zipo Kikatiba na Kisheria juu ya Muungano
My take : Hawa Wazanzibar hawaridhiki kila siku wanaibuka na kero mpya ifike pahali tuunde Serikali moja includi
Hawa warabu weusi ni shida ndugu yangu! mpaka sasa bado ni watumwa wa dini za wenzao!Mwambieni aweke pia Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inaidai Zanzibar kiasi gani?! Na wanavyoijaza dunia ndg zetu hawa bila hizi fursa za ubwete ubwete upande wa pili kuanzia ajira,fursa za kibiashara ardhi tena yenye rutuba sijui wangekuwa wageni wa nani.Tanganyika haiitaji Zanzibar kama Zanzibar inavyoihitaji Tanganyika.Iko wazi,hawa wenye uwezo wasiwahadae wenzao wanaojikongoja.