Fatuma Makongoro (Bi Mwenda), Msanii aliyetukuka kwenye sanaa ya uigizaji Tanzania

Wewe ushajionyesha mzushiii tu watafuta kick na kumuharibia kwa kuunda maneno.

Yanini nimzushie mkuu,mama ni muomba bia mkubwa Sana,na akilewa Hana heshima,vijana wadogo wanamtembezea Moto,anaishi maeneo hayo nilikuambia namjua vizuri Sana sio wewe unamjua kupitia TV na magazeti....nenda maeneo niliyokuambia ufanye uchunguzi harafu ulete matokeo..
 
Sifa yake nyingine Ni chapombe,anaomba Sana bia,akikuta vijana wanakunywa anajichomeka na kuwaambia ninunulieni bia niwaadithie michezo ya zamani Itv ya kaole,sasa vijana nao wasivyo na nidhamu wanamnunulia bia chache tu mama wa watu hoi...vijana wanafanya yao

Nenda zile bar pale njia panda Airport utapata majibu yote,ya nini nimsingizie mama wa watu...

Yanini nimzushie mkuu,mama ni muomba bia mkubwa Sana,na akilewa Hana heshima,vijana wadogo wanamtembezea Moto,anaishi maeneo hayo nilikuambia namjua vizuri Sana sio wewe unamjua kupitia TV na magazeti....nenda maeneo niliyokuambia ufanye uchunguzi harafu ulete matokeo..

Yanasikitisha mkuu lakini ndo ukweli wenyewe ana mazuri na ana mabaya yake..

Mimi nakuupuza tu,endelea kuishi maisha ya kuigiza kuliko maisha halisi...

Una upeo mdogo Sana!,yaani umeshindwa kuelewa nina maana gani kwa nilichoandika hapo juu?,wapi nimekuzungumzia wewe?,nimemzungumzia mtu ninayemjua siyo wewe,kwa kukusaidia Ni kwamba,kinachoigizwa na wasanii wetu,siyo maisha Yao halisi,wana maisha Yao ambayo ndiyo tunayoyazungumzia hapa,nakuacha endelea kuamini hivyohivyo...

Alafu we jamaa..inaonekana unatabia za dada zako...iweje wewe tu.!.acha kuchafua wenzio
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Una upeo mdogo Sana!,yaani umeshindwa kuelewa nina maana gani kwa nilichoandika hapo juu?,wapi nimekuzungumzia wewe?,nimemzungumzia mtu ninayemjua siyo wewe,kwa kukusaidia Ni kwamba,kinachoigizwa na wasanii wetu,siyo maisha Yao halisi,wana maisha Yao ambayo ndiyo tunayoyazungumzia hapa,nakuacha endelea kuamini hivyohivyo...
Siitaji kukujibu manake naona ww ..tatizo ujitambui..dont argue with a fool....
 
Back
Top Bottom