group tenaIngia group la chadema in blood
Aisee kweli maisha yanabadilika ,Leo wewe Etwege unafuatilia mpaka page ya Chadema blood??Ingia group la chadema in blood
Dunia ni sawa na gwaride nyuma geuka wa mbele anakuwa wa mwisho.Aisee kweli maisha yanabadilika ,Leo wewe Etwege unafuatilia mpaka page ya Chadema blood??
Ndio maana mnaambiwa Kila siku jitahidini kuishi kwa haki, ukiwa Dunia hii usijivune Dunia inaweza kukufanya chochote muda wowote,
Now day tupe wote tunalia.
Kwamba limafwele limeuwawa?Hizi habari zimeandikwa pia na
Rachel Dangwa na Kigogo ngoja tupate verification ya Mange
Kiongozi tuwekee video hapa..Kaka wa Humphrey Polepole anaiyeitwa Augustino Polepole amejirekodi na kutuma video inayomtaka ZCO Faustine Mafwele ajitokeze hadharani na kuwaeleza watanzania walichomfanya.
Ikumbukwe Faustine Mafwele ndiyo imekuwa mashine ya utekaji na mauaji kwenye utawala wa Rais Samia akitumika na Abdul mtoto wa Rais.
Ingia page ya Twaha mwaipaya Instagramgroup tena
Leta hiyo page humu vijana washangilie ππIngia page ya Twaha mwaipaya Instagram