mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Mafyele na akufilie mbali na mzoga wake wapewe mamba wa luvu
Hali si hali.....kunazidi kufukaa..moja haijaliki mbili hakaliki....The End is NearJoto linazidi kupamba moto. Anzeni kutafuta njia inayoelekea kwa wajomba. Hapa hamna kitu tena.
Honestly speaking, Mimi binafsi sina baya na huyu mtu. Alinisaidia sana two months ago. Alinipa connection nzuri sana.Unamuonea wivu Mafwele ulitamani ungebakwa wewe..!!
We ***** una nyege sana
Kaka wa Humphrey Polepole anaiyeitwa Augustino Polepole amejirekodi na kutuma video inayomtaka ZCO Faustine Mafwele ajitokeze hadharani na kuwaeleza watanzania walichomfanya.
Ikumbukwe Faustine Mafwele ndiyo imekuwa mashine ya utekaji na mauaji kwenye utawala wa Rais Samia akitumika na Abdul mtoto wa Rais.
View: https://youtu.be/erEYfjnIs5E?si=1St2SusvFHX62tyr
Hivi Yuko wapi huyu jamaaa musoma syndicateHuyo nae hajaiva kabisa ..alisema sindiketi ikisoma anamaliza nashangaa mwaka unakaribia sijui hiyo sindiketi ndo imempoteza kabisa porini huko!!!😆