Tetesi: Faustine Mafwele yamkuta mazito, Augustino Polepole amtaka ajitokeze hadharani

Kama umepewa bahati ya kumchoma moto huyu muuwaji, aise wengine tutaenda Dodoma kuleta kuni za MITUNDURU KABISA!
 
Wewe ni mhamiaji haramu
Baba yangu yupo ni mzee wa miaka 92 alifanya kazi pale wizara ya kilimo kwa miaka 30 akastaafu akiwa mmoja wa wasaidizi wa waziri. Marehemu mama yangu alikuwa mwalimu pale Forodhani.

Nimezaliwa Mwanza miaka zaidi ya 50 iliyopita mwenyeji wa mkoa wa Kagera wilaya ya Ngara.

Nitajie na wewe taarifa zako zenye kuuweka wazi utanzania wako, ili usiendelee kutumia hii mbinu chafu ya kibaguzi kwenye maongezi yetu.

Hizi kauli zako zinaonyesha jinsi unavyowahi kutokwa na mapovu.
 
Unamsifia Rais ambaye amefeli form four wakari kuna waru wana degree wapo mtaani. Kijijini kwetu watu kama nyie wanaitwa mbusu au ichoondi.

Mmiliki wa facebook hakumaliza chuo kikuu leo kaajiri mamia ya wasomi wenye shahada za vyuo vikuu.

Maishani ukiringia elimu yako utakufa kijinga na mapema sana. Waziri wa kilimo wa awamu ya kwanza ya JKN alikuwa profesa wa chuo kikuu, alifia kwao Ukerewe kwa ulevi wa gongo.

Samia na elimu yake ya kuungaunga anafanya makubwa sana kuliko wewe unayetambia vyeti huku ukiumizwa moyoni namna uliosoma nao ukiwazidi elimu darasani walivyokuzidi kimaisha.
 
i
Baba yangu yupo ni mzee wa miaka 92 alifanya kazi pale wizara ya kilimo kwa miaka 30 akastaafu akiwa mmoja wa wasaidizi wa waziri. Marehemu mama yangu alikuwa mwalimu pale Forodhani.

Nimezaliwa Mwanza miaka zaidi ya 50 iliyopita mwenyeji wa mkoa wa Kagera wilaya ya Ngara.

Nitajie na wewe taarifa zako zenye kuuweka wazi utanzania wako, ili usiendelee kutumia hii mbinu chafu ya kibaguzi kwenye maongezi yetu.

Hizi kauli zako zinaonyesha jinsi unavyowahi kutokwa na mapovu.
Wewe mhamiaji haramu huwezi kuni interrogate mimi mzawa.
 
Weka wewe taarifa zako tuupime huo utanzania wako kuliko kukimbilia mada za uhamiaji haramu wakati mimi ninaweza kuwa mtanzania halisi kuliko wewe.

Baba yangu alipata scholarship ya kwenda kusoma New Zealand mwaka 1960 akarudi nchini mwaka 1963 ni mmoja wa maafisa kilimo wa mwanzo mwanzo wa hapa Tanzania.
 
Mmiliki wa facebook hakumaliza chuo kikuu leo kaajiri mamia ya wasomi wenye shahada za vyuo vikuu.

Maishani ukiringia elimu yako utakufa kijinga na mapema sana. Waziri wa kilimo wa awamu ya kwanza ya JKN alikuwa profesa wa chuo kikuu, alifia kwao Ukerewe kwa ulevi wa gongo.

Samia na elimu yake ya kuungaunga anafanya makubwa sana kuliko wewe unayetambia vyeti huku ukiumizwa moyoni namna uliosoma nao ukiwazidi elimu darasani walivyokuzidi kimaisha.
1. Unasema mh Rais ana elimu ya kuungaunga?
2. Unafanya kosa ambalo wengi walioshindwa shule wanamtumia MZ kama kichaka Chao cha ukilaza. MZ was genius aliacha shule kwasababu alikuwa mbele ya elimu wanayotoa, sio kama wengi ambao shule imewashinda.
 
Waliiponda elimu ya JPM wakisema ni PHD Feki wakaja kuiponda ya Samia wakisema ni form four.

Wao wana elimu zao wanateseka huku mitaani wakati SSH keshaingia kwenye vitabu vya kumbukumbu ya TZ.

Aliyoyafanya SSH mpaka dakika hii ni makubwa sana kiasi kwamba yamezidi hiyo elimu yake wanayoiponda.
 
Wewe kila siku unaniita mimi mnyarwanda unakuja na maneno ya mikwara mingi wakati hunijui, tumia lugha za kistaarabu hili jukwaa lina kila aina ya watu.
Hizo 'lugha za kistaarabu" mnazihimiza sana, wakati matendo yenu siyo ya kistaarabu; kwa nini?

Hizi akili zenu hasa zimekaaje nyinyi wenye tamaduni hizi za kilaghai katika kila jambo?
 
Waliiponda elimu ya JPM wakisema ni PHD Feki wakaja kuiponda ya Samia wakisema ni form four.

Wao wana elimu zao wanateseka huku mitaani wakati SSH keshaingia kwenye vitabu vya kumbukumbu ya TZ.

Aliyoyafanya SSH mpaka dakika hii ni makubwa sana kiasi kwamba yamezidi hiyo elimu yake wanayoiponda.
Samia Suluhu Hassan ni mhalifu anayeteseka sana wakati huu. Wewe huna uwezo wowote wa kumsemea ni namna gani uhalifu alioufanya unavyomtesa sasa hivi. Upo hapa kupoteza muda tu.
 
Mmiliki wa facebook hakumaliza chuo kikuu leo kaajiri mamia ya wasomi wenye shahada za vyuo vikuu.

Maishani ukiringia elimu yako utakufa kijinga na mapema sana. Waziri wa kilimo wa awamu ya kwanza ya JKN alikuwa profesa wa chuo kikuu, alifia kwao Ukerewe kwa ulevi wa gongo.

Samia na elimu yake ya kuungaunga anafanya makubwa sana kuliko wewe unayetambia vyeti huku ukiumizwa moyoni namna uliosoma nao ukiwazidi elimu darasani walivyokuzidi kimaisha.
Ni bora mara mia aliyeuliwa na ulevi wa gongo bila ya kuwafanyia waTanzania uhalifu kama alivyo Samia, ambaye inajulikana wazi hana kitu chochote kichwani.
Hawezi kujivunia uhalifu wa kuua waTanzania!

Hata nguruwe kama wewe unajivimbisha tu hapa kumpa sifa ambazo mwenyewe unaona hana!
 
We mzee wa kubwabwaja vipi hujachoka tu? Naona mnapeana moyo kuwa mmemteka mafwele
 
Back
Top Bottom